Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

Mbona malaika wanaishi bila wanawake na wameweza sembuse sisi binadamu

Kila kitu kinawezekana hata adamu aliishi bustani Edeni kwa miaka mingi kabla ya kuletewa mwanamke

""Kila kitu kinawezekana chini ya jua""
Malaika hawana jinsia kama sisi .
 
Malaika hawana jinsia kama sisi .
Malaika hawana jinsi Kama sisi wakati hata majina yao wanasadifu jinsia ya kiume?

Mfano malaika Gabriel na manabii wote wa mungu walikuwa wanaume

Kama hakuna uzao hakuna haja ya kuwa na jinsia ya kike

Kwa hiyo mbinguni hakuna haja ya kuwa na jinsia ya kike kwa sababu hawazaliani Kama binadamu Bali waliumbwa
 
Back
Top Bottom