Wanaume tuongee na Madaktari

Wanaume tuongee na Madaktari

Ni kibamia ndio, vibamia mna umoja nawaelewa sana,, punguzeni gubu tu mbona mko poa
Hilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.
Shauri yenu mtaendelea kumegwa na kuachwa kila kukicha kisa mmeshupaza shingo hamtaki ushauri.
 
hua zinachanika ila wanazishona na zingine wakishona zinakuwa zinabana kuliko hata kabla. acha kupotosha, waheshimu wanawake.
Wewe ni Daktari? Umesoma maelezo ya madaktari yaliyotolewa humu?? Huyo aliyeshonwa ulianza kumtumia baada ya wiki ngapi? Alipotoka hospital alikandwa au hajakandwa na maji moto?
Acha kudandia gari kwa mbele utakuja kugongwa uffe, kama wewe ni GT ungesoma walichoshauri wataalam ndipo ubwabwaje hizo mbegge zako ulizotapika hapo.
 
Hili ni nyanyaso la kijinsia ama?
Mkuu hii haitofautiani na ukeketaji vyote vinapoteza uasilia wa maumbile ya Ke. Ingawa moja wataalam wamedai imelenga kuokoa maisha ya mtoto na nyingine inafanyika kwa sababu ya Mila ya kumpunguzia mwanammke mhemko wa ngono. So they fall under the same scenario ila watekelezaji tofauti.
 
Ni upungufu wamaarifa ila naturally mwanamke mwembamba na kinchechede anakuwa ana nyonga kubwa ila pia uke wa mwanamke ni 10cm inch NNE deep so nyapu izi nyapu it's how unavyokumuta mdundo .com
 
Ni upungufu wamaarifa ila naturally mwanamke mwembamba na kinchechede anakuwa ana nyonga kubwa ila pia uke wa mwanamke ni 10cm inch NNE deep so nyapu izi nyapu it's how unavyokumuta mdundo .com
Duh bonge la sound bonge la biti
 
Daah asee nimepita na masingo mama wengi tu ila sijanotice hii kitu, mi nahisi ni maumbile tu, waweza mkuta mmama ameshusha injini mara zaidi ya tatu lakini akawa mnato kuliko kidada kinachoanza hayo mambo.
Tusiwasingizie wataalam jamani huenda ni maumbile tu.
Kwa kiasi kikubwa ni maumbile, ndiyo maana kuna wanawake atajifungua watoto kadhaa lakini kwa kiasi kikubwa mwili utarudi kama mwanzo.

Wengine mwili unatepweta nyama uzembe zinaongezeka na mwili haurudi kama mwazo. Ndiyo ilivyo hata kwenye uke.
 
Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hili nawalaumu madaktari wa bongo. Madaktari wa Marekani hata mwanamke ajifungue kwa c section mara tatu, huwezi ona waliposhona kiurahisi.
 
Hili nawalaumu madaktari wa bongo.Madaktari wa Marekani hata mwanamke ajifungue kwa c section mara tatu, huweona waliposhona kiurahisi.
Hapa ndipo ugomvi wangu ulipo na Daktari. Yaaani Mshono wa Uzazi umeshonwa utadhan mwanamke alipigwa na bomu la Mtaliban😭😭😭 Unakaa unawaza hawa Madaktari wanashona wakiwa wamelewa Chibukuuu, KVant au taaaluma zero yaaani kifupi kuna shida. Dada zetu wameharibiwa vibayaa mnoo maumbile yao
 
Kuna mama mmoja mtoto wake wa kwanza alijifungulia nchi moja hivi Afrika kwa c section. Sasa wakati anaujauzito wa pili akiwa Marekani, huyo obgyn wake alipoona kovu alihamaki kweli, akamuuliza, "who did this?" Yaani kovu utafikiri mtu alichora tatoo ya tandu tumboni.
 
Hilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.
Shauri yenu mtaendelea kumegwa na kuachwa kila kukicha kisa mmeshupaza shingo hamtaki ushauri.
Kibamia mna makelele na gubh sana lia na kibamia chako usinifokee
 
Kuna mama mmoja mtoto wake wa kwanza alijifungulia Afrika kwa c section. Sasa wakati anaujauzito wa pili Marekani, huyo obgyn wake alipoona kovu alihamaki kweli, akamuuliza, "who did this?" Yaani kovu utafikiri mtu alichora tatoo ya tandu tumboni.
Ukisema kama nilivyotoa hoja hapa kuna Vibwengo wanakuja juuu ohhhhhh unatukana kada ya Madaktari shiiiit nyie ni madaktari gani hamjifunzi kwa wenzenu wa dunia ya leo. Mnashona mgonjwa nyuzi utadhan mnashonelea Kaniki ya Wamang'ati.
 
Kibamia mna makelele na gubh sana lia na kibamia chako usinifokee
Relax Madame.
JF tunawasilisha hoja za Jamii uhalisia na mtu aliyetoa hojja huwa ni asilimia ndogo. Anyway vyovyote iwavyo mrembo wangu ilimradi ujumbe umewafikia walengwa naaamini watachukua hatua
 
Ukisema kama nilivyotoa hoja hapa kuna Vibwengo wanakuja juuu ohhhhhh unatukana kada ya Madaktari shiiiit nyie ni madaktari gani hamjifunzi kwa wenzenu wa dunia ya leo. Mnashona mgonjwa nyuzi utadhan mnashonelea Kaniki ya Wamang'ati.
Udaktari ni sanyansi na sanaa, madaktari wetu wamefuzu sayansi ila sanaa bado..
 
Hilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.
Shauri yenu mtaendelea kumegwa na kuachwa kila kukicha kisa mmeshupaza shingo hamtaki ushauri.
Ni maumbile tuu kaka, wakati mwingine ni watu wawili kurandana (compatibility).

Nimekutana na wanawake waliojifungua watoto zaidi ya watatu vaginally lakini unajiuliza hivi huyu kaweka nini ndani? Mbona kila pembe inaleta msisimko. Lakini pia kuna wale ambao hata hawajawahi kujifungua, unakuta yupo tight mlangoni tuu kwenye ile sphincter (bulbocavernosus muscle) ila huko ndani huhisi kitu.
 
Relax Madame.
JF tunawasilisha hoja za Jamii uhalisia na mtu aliyetoa hojja huwa ni asilimia ndogo. Anyway vyovyote iwavyo mrembo wangu ilimradi ujumbe umewafikia walengwa naaamini watachukua hatua
Kafanye upasuaji ukuze kibamia hicho,,

Mkeo ndo wa kwanza kuzaa,, kasomee ukunga sasa umzalishe mwenyewe,, je kama ndo maumbile yake,, ama ulimuingilia kabla hajapona vizuri!! Watu wanazaa hata watoto 8 na bado wanapita hapo hapo kwa utamu,, mada umeileta kwa kejeli wadau tukajaribu kukuelewesha lakinu umekaza fuvu,, tatizo ni lako mwenyewe kidudu kama penseli hata kwa bikira utaelea tu,,
 
Back
Top Bottom