Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ni kibamia ndio, vibamia mna umoja nawaelewa sana,, punguzeni gubu tu mbona mko poaKwa hiyo kibamia amekipata ghafla baada ya mkewe kuongezewa njia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kibamia ndio, vibamia mna umoja nawaelewa sana,, punguzeni gubu tu mbona mko poaKwa hiyo kibamia amekipata ghafla baada ya mkewe kuongezewa njia?
Hilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.Ni kibamia ndio, vibamia mna umoja nawaelewa sana,, punguzeni gubu tu mbona mko poa
Wewe ni Daktari? Umesoma maelezo ya madaktari yaliyotolewa humu?? Huyo aliyeshonwa ulianza kumtumia baada ya wiki ngapi? Alipotoka hospital alikandwa au hajakandwa na maji moto?hua zinachanika ila wanazishona na zingine wakishona zinakuwa zinabana kuliko hata kabla. acha kupotosha, waheshimu wanawake.
Mwenye akaunti ya Waziri Gwajima amfamfikishie ujumbe huu
Mkuu hii haitofautiani na ukeketaji vyote vinapoteza uasilia wa maumbile ya Ke. Ingawa moja wataalam wamedai imelenga kuokoa maisha ya mtoto na nyingine inafanyika kwa sababu ya Mila ya kumpunguzia mwanammke mhemko wa ngono. So they fall under the same scenario ila watekelezaji tofauti.Hili ni nyanyaso la kijinsia ama?
Duh bonge la sound bonge la bitiNi upungufu wamaarifa ila naturally mwanamke mwembamba na kinchechede anakuwa ana nyonga kubwa ila pia uke wa mwanamke ni 10cm inch NNE deep so nyapu izi nyapu it's how unavyokumuta mdundo .com
Kwa kiasi kikubwa ni maumbile, ndiyo maana kuna wanawake atajifungua watoto kadhaa lakini kwa kiasi kikubwa mwili utarudi kama mwanzo.Daah asee nimepita na masingo mama wengi tu ila sijanotice hii kitu, mi nahisi ni maumbile tu, waweza mkuta mmama ameshusha injini mara zaidi ya tatu lakini akawa mnato kuliko kidada kinachoanza hayo mambo.
Tusiwasingizie wataalam jamani huenda ni maumbile tu.
Hili nawalaumu madaktari wa bongo. Madaktari wa Marekani hata mwanamke ajifungue kwa c section mara tatu, huwezi ona waliposhona kiurahisi.Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hapa ndipo ugomvi wangu ulipo na Daktari. Yaaani Mshono wa Uzazi umeshonwa utadhan mwanamke alipigwa na bomu la Mtaliban😭😭😭 Unakaa unawaza hawa Madaktari wanashona wakiwa wamelewa Chibukuuu, KVant au taaaluma zero yaaani kifupi kuna shida. Dada zetu wameharibiwa vibayaa mnoo maumbile yaoHili nawalaumu madaktari wa bongo.Madaktari wa Marekani hata mwanamke ajifungue kwa c section mara tatu, huweona waliposhona kiurahisi.
Kuna mama mmoja mtoto wake wa kwanza alijifungulia nchi moja hivi Afrika kwa c section. Sasa wakati anaujauzito wa pili akiwa Marekani, huyo obgyn wake alipoona kovu alihamaki kweli, akamuuliza, "who did this?" Yaani kovu utafikiri mtu alichora tatoo ya tandu tumboni.Hapa ndipo ugomvi wangu ulipo na Daktari. Yaaani Mshono wa Uzazi umeshonwa utadhan mwanamke alipigwa na bomu la Mtaliban😭😭😭 Unakaa unawaza hawa Madaktari wanashona wakiwa wamelewa Chibukuuu, KVant au taaaluma zero yaaani kifupi kuna shida. Dada zetu wameharibiwa vibayaa mnoo maumbile yao
Kibamia mna makelele na gubh sana lia na kibamia chako usinifokeeHilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.
Shauri yenu mtaendelea kumegwa na kuachwa kila kukicha kisa mmeshupaza shingo hamtaki ushauri.
Ukisema kama nilivyotoa hoja hapa kuna Vibwengo wanakuja juuu ohhhhhh unatukana kada ya Madaktari shiiiit nyie ni madaktari gani hamjifunzi kwa wenzenu wa dunia ya leo. Mnashona mgonjwa nyuzi utadhan mnashonelea Kaniki ya Wamang'ati.Kuna mama mmoja mtoto wake wa kwanza alijifungulia Afrika kwa c section. Sasa wakati anaujauzito wa pili Marekani, huyo obgyn wake alipoona kovu alihamaki kweli, akamuuliza, "who did this?" Yaani kovu utafikiri mtu alichora tatoo ya tandu tumboni.
Relax Madame.Kibamia mna makelele na gubh sana lia na kibamia chako usinifokee
Udaktari ni sanyansi na sanaa, madaktari wetu wamefuzu sayansi ila sanaa bado..Ukisema kama nilivyotoa hoja hapa kuna Vibwengo wanakuja juuu ohhhhhh unatukana kada ya Madaktari shiiiit nyie ni madaktari gani hamjifunzi kwa wenzenu wa dunia ya leo. Mnashona mgonjwa nyuzi utadhan mnashonelea Kaniki ya Wamang'ati.
Aulingani na uchungu wa chini.Acheni kujazana ujinga jamani,
Uliwahi kukaa na mama aliyejifungua kwa kisu ukaona anayopitia na huo mshono!?
Hapo Sasa[emoji119]Mtalalamika mpk kesho... Ila hiyo yote ni kuzalia Hospitali za cheap. Ivi kwel kujifungua aga khan mpka milion 6 tena kawaida hiyo. Matokeo yake utalinganisha na kituo cha afya Bondeni ama yombo. Au buza?
Ni maumbile tuu kaka, wakati mwingine ni watu wawili kurandana (compatibility).Hilo ndilo limekuwa kimbilio la wanawake njia nane. Ukimweleza ukweli kwamba maumbile yako yanahitaji kurekebishwa hali yake siyo ya kawaida atakimbilia kulalama Oooooh wewe KIBAMIA achana na mimi.... chombo ni XXXXL CD 700 wewe unadharau shubamiiiit.
Shauri yenu mtaendelea kumegwa na kuachwa kila kukicha kisa mmeshupaza shingo hamtaki ushauri.
Kafanye upasuaji ukuze kibamia hicho,,Relax Madame.
JF tunawasilisha hoja za Jamii uhalisia na mtu aliyetoa hojja huwa ni asilimia ndogo. Anyway vyovyote iwavyo mrembo wangu ilimradi ujumbe umewafikia walengwa naaamini watachukua hatua