Wanaume tuongee na Madaktari

Labda kama gyno uchwara. Maana sehemu inarudiwa hapo hapo hiyo mishono mingi inatokea wapi. Na overtime kovu linapungua
 

Ni shida ya mkeo, nina watoto 3 ajafanyiwa operesheni na bado iko mukide
 
Usitujumishe wote sasa... baadhi yetu, mfano mm hapa; mvuto wa mama wa mtoto wangu hauwezi ukapotea... ile ni alama ya kua kaleta kiumbe chenye uhai katika dunia hii.. so technically it's a symbol of beauty [emoji41]... na kama kapoteza mvuto kwani aliempa mimba ni nani kama sio ww mwenyew?
 
Mukide kulinganisha na nani Mkuu. Umefanya utafiti?? Umejaribu kwingine ukaona Mnato ulivyo? Wengine hamjui lolote nje ya home maaana mshatengenezwa na limbwata mmepofuka kwahiyo hamjui msemalo.
Mm sina mke. Ila nilipokua chuo niliwahi kua na mahusiano na mdada aliezaa. Bruh, alikua unyama tu. Kushinda hata baadhi ya hawa pisi kali zetu [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…