spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Kuoa raha sana inaonekana mana wamama wote wakishapata fahamu swali la kwanza kuuliza ni lini baba mtoto anaweza nitumia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikatembelea nyota.Najua wewe sio dokta
Walikosea
Ukanata na biti
Inategemea... kuna muda mama anaweza kua na complications kias kwamba kujifungua normal ikawa risky, so cs lazima itahusika..Cs si risk mama kwan hujui
Sahihi lakini hapa tunasemea wale wanaotaka tu wenyew bile medical indicationsInategemea... kuna muda mama anaweza kua na complications kias kwamba kujifungua normal ikawa risky, so cs lazima itahusika..
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali zuri sana. DJ walete MDsKwaiyo mwanamke inabdi akae muda gani baada ya kujifungua ndo aanze kazi😀
Labda kama gyno uchwara. Maana sehemu inarudiwa hapo hapo hiyo mishono mingi inatokea wapi. Na overtime kovu linapunguaWaambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Muongo huyoLabda kama gyno uchwara. Maana sehemu inarudiwa hapo hapo hiyo mishono mingi inatokea wapi. Na overtime kovu linapungua
Halafu yale usitukane wakunga. Kuna fibroid pia naona kama inakua kwa kasi sasa sijui nao watakimbiwa kwa kovu linatishaMuongo huyo
Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani.
Madaktari Madakatari Madaktari....
Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi?
Au mmeamua kutukomesha?
Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake, na pengine akaongezewa njia.
Hutoamini macho yako utakachokutana nacho😭😭😭Madaktari wanaacha barabara ya njia 8, nakwambia utajuta! utapitisha mtambo wako wa WIDE LOAD na hutogusa ASSET yoyote barabarani utakuwa kama unaogelea kwenye pipa la maji.
Mchumba wako Alikuwa na Umbile lake zuuuri na Unafurahia maisha ndani ya dkk 5 msuguano unakutosha kumaliza kushusha mzigo lkn sasaa maweeeeeee utasumbuka weeeee uvute sura za akina Jokate, Kajala ujilazimishe humo bwawani weeeeee dkk 40 ndipo unaona matokeo!
Lahaulaaaaaa nyie Madaktari Mungu anawaona.
Kinachofuata ni Mchumba kuachwa na mtoto na Bwawa lake na mipango ya ndoa inakatika.
Mke wa Ndoa kinachotokea ni kutafutiwa Mchepuko, kutelekezwa au kupigwa talaka. MADKTARI TAMBUENI MMEUMIZA WENGI kwa kutozingatia weledi kwenye taaluma zenu.
Wadada wa Mjini wameamua liwalo na liwe wanataka kisu tuuu mtoto wa kwanza hadi 4. Mdada mzuuuuri akivua nguo ni makovu ya uzazi mpaka mzuka unakata.
Hivi nyie madaktari nasema na nyie tumewakosea wapi jamani.
Wanabodi nimejionea mengi mpaka kuleta huu uzi hapa.
Kama hana makovu ya Visu Tumboni basi huko kwingine barabara ni njia 8 hali hii hatupaswi kuifumbia macho wadau maana Wizara hata haina habari na hili janga na watu wanaona aibu kulisema wazi wazi lkn lipo na tatizo ni kubwa sana.
Mwenye akaunti ya Waziri Gwajima amfikishie huu ujumbe wa Wanaume tumechoka kuvurugiwa maua yetu na madaktari na wanashindwa kuyarejesha kwenye umbile lake, warudisheni shule wanaharibu maisha ya watu, huu ni ukatili wa kijinsia maaaaamae zenu madokta.
Hebu toeni maoni tutokeje hapa wakuu.
Usitujumishe wote sasa... baadhi yetu, mfano mm hapa; mvuto wa mama wa mtoto wangu hauwezi ukapotea... ile ni alama ya kua kaleta kiumbe chenye uhai katika dunia hii.. so technically it's a symbol of beauty [emoji41]... na kama kapoteza mvuto kwani aliempa mimba ni nani kama sio ww mwenyew?Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwamba una kibamia mkuu usione aibu
Chukulia ni kama kovu la Ajari.Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Mukide kulinganisha na nani Mkuu. Umefanya utafiti?? Umejaribu kwingine ukaona Mnato ulivyo? Wengine hamjui lolote nje ya home maaana mshatengenezwa na limbwata mmepofuka kwahiyo hamjui msemalo.Ni shida ya mkeo, nina watoto 3 ajafanyiwa operesheni na bado iko mukide
Kuna wale wanaulizagaKuoa raha sana inaonekana mana wamama wote wakishapata fahamu swali la kwanza kuuliza ni lini baba mtoto anaweza nitumia
Suluhisho nn sasa dear?Ila kweli wakunga huwaharibu sana hasa wanaoongezewa njia wanatakiwa wawashone vizuri na Ndio maana wanawake wengine wakishazaa hamu ya ngono kwisha
Mm sina mke. Ila nilipokua chuo niliwahi kua na mahusiano na mdada aliezaa. Bruh, alikua unyama tu. Kushinda hata baadhi ya hawa pisi kali zetu [emoji38][emoji38]Mukide kulinganisha na nani Mkuu. Umefanya utafiti?? Umejaribu kwingine ukaona Mnato ulivyo? Wengine hamjui lolote nje ya home maaana mshatengenezwa na limbwata mmepofuka kwahiyo hamjui msemalo.
Hiyohiyo unaifinyia ndani😅Kegel ndio ile kujifinyia ? 🤣
Hivi hio kegal inabana k*** kweli? Au ni kamba za mitandaon tu...Kegel ndio ile kujifinyia ? [emoji1787]