Wanaume tuongee na Madaktari

Wanaume tuongee na Madaktari

Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Labda kama gyno uchwara. Maana sehemu inarudiwa hapo hapo hiyo mishono mingi inatokea wapi. Na overtime kovu linapungua
 
Wanabodi hali ni mbaya sana huku majumbani.

Madaktari Madakatari Madaktari....

Sijui mmevurugwa na nini? Sijui ni kwa maksudi au kwa sababu ya Utaalamu kiduchu au Mshahara hautoshi?

Au mmeamua kutukomesha?

Usiombe Mchumba /Mkeo wako ajifungue kwa njia ya kawaida kupitia kwenye Uzazi wake, na pengine akaongezewa njia.

Hutoamini macho yako utakachokutana nacho😭😭😭Madaktari wanaacha barabara ya njia 8, nakwambia utajuta! utapitisha mtambo wako wa WIDE LOAD na hutogusa ASSET yoyote barabarani utakuwa kama unaogelea kwenye pipa la maji.

Mchumba wako Alikuwa na Umbile lake zuuuri na Unafurahia maisha ndani ya dkk 5 msuguano unakutosha kumaliza kushusha mzigo lkn sasaa maweeeeeee utasumbuka weeeee uvute sura za akina Jokate, Kajala ujilazimishe humo bwawani weeeeee dkk 40 ndipo unaona matokeo!

Lahaulaaaaaa nyie Madaktari Mungu anawaona.

Kinachofuata ni Mchumba kuachwa na mtoto na Bwawa lake na mipango ya ndoa inakatika.

Mke wa Ndoa kinachotokea ni kutafutiwa Mchepuko, kutelekezwa au kupigwa talaka. MADKTARI TAMBUENI MMEUMIZA WENGI kwa kutozingatia weledi kwenye taaluma zenu.

Wadada wa Mjini wameamua liwalo na liwe wanataka kisu tuuu mtoto wa kwanza hadi 4. Mdada mzuuuuri akivua nguo ni makovu ya uzazi mpaka mzuka unakata.

Hivi nyie madaktari nasema na nyie tumewakosea wapi jamani.

Wanabodi nimejionea mengi mpaka kuleta huu uzi hapa.

Kama hana makovu ya Visu Tumboni basi huko kwingine barabara ni njia 8 hali hii hatupaswi kuifumbia macho wadau maana Wizara hata haina habari na hili janga na watu wanaona aibu kulisema wazi wazi lkn lipo na tatizo ni kubwa sana.

Mwenye akaunti ya Waziri Gwajima amfikishie huu ujumbe wa Wanaume tumechoka kuvurugiwa maua yetu na madaktari na wanashindwa kuyarejesha kwenye umbile lake, warudisheni shule wanaharibu maisha ya watu, huu ni ukatili wa kijinsia maaaaamae zenu madokta.

Hebu toeni maoni tutokeje hapa wakuu.

Ni shida ya mkeo, nina watoto 3 ajafanyiwa operesheni na bado iko mukide
 
Waambie pia,mwanamke mwenye makovu ya kisu tumboni hata awe mrembo na tako vipi,akishavua nguo tu anapoteza mvuto maana pale kwenye mshono/mishono panakuwa na mwonekano mbaya,panakamkatisha stimu mwanaume.

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Usitujumishe wote sasa... baadhi yetu, mfano mm hapa; mvuto wa mama wa mtoto wangu hauwezi ukapotea... ile ni alama ya kua kaleta kiumbe chenye uhai katika dunia hii.. so technically it's a symbol of beauty [emoji41]... na kama kapoteza mvuto kwani aliempa mimba ni nani kama sio ww mwenyew?
 
Mukide kulinganisha na nani Mkuu. Umefanya utafiti?? Umejaribu kwingine ukaona Mnato ulivyo? Wengine hamjui lolote nje ya home maaana mshatengenezwa na limbwata mmepofuka kwahiyo hamjui msemalo.
Mm sina mke. Ila nilipokua chuo niliwahi kua na mahusiano na mdada aliezaa. Bruh, alikua unyama tu. Kushinda hata baadhi ya hawa pisi kali zetu [emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom