Kentsuhcy Wrudate
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 1,075
- 653
Wewe ni daktari? Kwenye huu uzi nimeona mtu mmoja anasema kua kuna baadhi ya wanawake wanakataa kushonwa wao wenyew, ina ukweli hii?Haiwezekani mwanamke ajifungue kwa kuongezewa njia au wakati wa kujifungua achanike msamba kisha ashonwe nusu au robo ili tuu vagina iwe kubwa kisa kuwakomesha wanaume.
Kwanza akukomeshe wewe anakujua?
Na kisheria kama kuna mwanamke ataongezewa njia au kuchanika msamba wakati wa kujifungua, endapo utagundua umeshonwa vibaya, kaisi kwamba vagina haijarudi kwenye anatomical position yake, basi sheria inakuruhusu kwenda kushtaki hospitali husika na wahudumu waliokuharibu.
Hivyo mkuu, kama unaona mkeo alishonwa kisha vagina imekaa kama shati lililolishanishwa vifungo, basi wachukulie hatua wahusika.
Unachojaribu kukipandikiza hapa ni uongo kwenye jamii ambayo kwa kutokujua kwake mambo ya kitabibu wataamini kweli madaktari na wauguzi huwa wanaacha vagina bila kuzishona ili kuwakomoa wanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app