Wanaume tuongee na Madaktari

Wanaume tuongee na Madaktari

Haiwezekani mwanamke ajifungue kwa kuongezewa njia au wakati wa kujifungua achanike msamba kisha ashonwe nusu au robo ili tuu vagina iwe kubwa kisa kuwakomesha wanaume.

Kwanza akukomeshe wewe anakujua?


Na kisheria kama kuna mwanamke ataongezewa njia au kuchanika msamba wakati wa kujifungua, endapo utagundua umeshonwa vibaya, kaisi kwamba vagina haijarudi kwenye anatomical position yake, basi sheria inakuruhusu kwenda kushtaki hospitali husika na wahudumu waliokuharibu.

Hivyo mkuu, kama unaona mkeo alishonwa kisha vagina imekaa kama shati lililolishanishwa vifungo, basi wachukulie hatua wahusika.

Unachojaribu kukipandikiza hapa ni uongo kwenye jamii ambayo kwa kutokujua kwake mambo ya kitabibu wataamini kweli madaktari na wauguzi huwa wanaacha vagina bila kuzishona ili kuwakomoa wanaume.
Wewe ni daktari? Kwenye huu uzi nimeona mtu mmoja anasema kua kuna baadhi ya wanawake wanakataa kushonwa wao wenyew, ina ukweli hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mbwa bado wanatukana wanawake: tunaleta viumbe vyenu duniani vinawafanya mnaitwa baba af saizi mnakejeli. Ndo maana wadada wengi wanaishia kulilia operation ili wamfurahishe mume ambae akija mtandaoni anamwita kiumbe dhaifu.

We The unpaid Seller njoo huku. Saizi tuombe madaktari watafute namna na we uwe unazaa labda utaacha kuita wanawake dhaifu.

Af mbaya zaidi unakuta mtu kama unpaid seller ana mbichwa kama gari la taka ataacha kurithisha watoto wake na mke akachanwa njia? Yani we ningekua nakaa na wewe ningekua nakutegeshea shoti ya umeme kila siku
Unamtegeshea shoti ya umeme kwa wapi...?😂😂😂😂😂
 
Wewe ni daktari? Kwenye huu uzi nimeona mtu mmoja anasema kua kuna baadhi ya wanawake wanakataa kushonwa wao wenyew, ina ukweli hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna ambao wanakataa katakata kushonwa kwa imani zao..... Kama ni mchaniko mdogo mnamuacha, kama ni mkubwa mnamsainisha form ya kukataa kushonwa..

BTW kama mwanamke ana maumbile makubwa basi yatabaki kuwa makubwa tuu, hata kama utapunguza ukubwa wa shimo huku nje ila ndani itabaki na ukubwa wake.

Na kama mwanamke ana maumbile madogo basi uatabaki kuwa madogo kwa ndani hata kama nje utaongeza njia.
 
Kuna ambao wanakataa katakata kushonwa kwa imani zao..... Kama ni mchaniko mdogo mnamuacha, kama ni mkubwa mnamsainisha form ya kukataa kushonwa..

BTW kama mwanamke ana maumbile makubwa basi yatabaki kuwa makubwa tuu, hata kama utapunguza ukubwa wa shimo huku nje ila ndani itabaki na ukubwa wake.

Na kama mwanamke ana maumbile madogo basi uatabaki kuwa madogo kwa ndani hata kama nje utaongeza njia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante kwa maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kukwepa bwawa
na/au nnya
demu akizaa kawaida, bwawa lake halikauki katu-katu
kipindi n@t0mb@, nikidadisi na kugundua mliwaji kazaa, anakula block
Pole saana mkuu..unahitaji matibabu nadhani maana hii mindset yako ishavuka kwenye abnomality...ni severe... chronic au critical na seriously unahitaji kusaidiwa haraka iwezekanavyo.. kwenu umezaliwa mtoto wa ngapi??
 
Tatizo mwanamke kajifungua ndani ya miezi 3 mnaanza kupiga game!!!


Waacheni wapumzike hata miezi 9 ili sehemu zake ziimarike kama zamani

Tamaa zitawaponza mnawabaka wamama wachanga wanaonyonyesha halafu mnakuja hapa kulalamika

ooh Mungu akubariki baba, nilisoma coment ya huyu kaka nikasikitika ila nikajisemea labda ji under 20, jamani kuzaa iwe kwa kisu au kawaida sio jambo dogoooo, ni vile tu kwa namna yoyote wanaume hamjawahi kuexperience hii safari msingeongea, ivi unajua kuna miezi ya mwisho ikifika unatamani kulitua tumbo upumzike kdg alafu ulibebe tena ila ndo ivyo huwezi, ingekua busara tu wanaume kuwaheshimu wanawake kwa jukumu hili la kuleta uhai na sio kutudhihaki.
Pia sad news ni owamba na nyie mtakuja/mnao kuwa na watoto wa kike sidhani kama mngependa wadhihakiwe na waume zao kwa namna hii mnayotufanyia sisi.🥲

Wanaume badilikeni acheni kujitoa ufahamu

Mnapenda tu kujisifia na watoto wenu lakini hamtaki ku bear cost ya kuwapata hao watoto.

Wanaume badilikeni.
Well said🙏🙏🙏tunayopitiaaa ni makubwaaaa mnoo sitaki kukumbukaa kbsaaa
 
Back
Top Bottom