Wanaume tupambane, tusipende sana ofa

Wanaume tupambane, tusipende sana ofa

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
33,679
Reaction score
49,841
Sifa ya mwanaume ni kulipa gharama na si kulipiwa.

Kukubali kulipiwa ni kuuvua uanaume wako na kuamia upande wa jinsia ya pili.

Hata kama umetolewa 'out' na rafiki yako, jitahidi angalau uchangie hata 500 ya kachumbari; hiyo itakupa heshima kubwa sana ya kuwa mwanaume halisi.

Wanaume tupambane......
 
unamnunulia mtu wa kiume bia halafu baadaye anakuomba nauli tena kwa kuforce
 
Back
Top Bottom