Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata nyie mkipata hela mnatafuta sasa wenye hadhi wa kula nao.....Eeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.
Kamdhalilisha na nini yani watu.... Hivi angesema hajui kunyandua wanaume si mngeweka matanga???
Huoni udhalilishaji anaofanyiwa MkuuKwani kamsimanga na nini???
Hivi kataa ndoa ni wanaume tu? Wanawake haturuhusiwi??
Mambo ya wawili.....hata sio ya kushupazia shingo watulie tu hawa wawaachie wenyewe.Mpaka Ke anakimbia basi huo ndio ukweli ukizingatia Mzee ni "JUA LA JIONI".
Mie ni mwanachama kitambo, ndoa ni kichaka cha mwanamke kujitajirisha....KATAA NDOA!!!Huoni udhalilishaji anaofanyiwa Mkuu
Yaani huyo Tina amebakiza pointi kidogo sana aanze kuyasema ya chumbani
Kuhusu Kataa Ndoa, niwe mkweli Sijaona Wanawake timu Kataa Ndoa, wewe utakuwa wa kwanza Mkuu 😅
Wanawake wenzio watakaosema wafuate maneno yako watajikuta baridi linawamaliza wakati huo wewe ikifika Jioni tu unamwambia Baba Chanja unaipandia juu 😜🙌Mie ni mwanachama kitambo, ndoa ni kichaka cha mwanamke kujitajirisha....KATAA NDOA!!!
Sasa mbona wapaza sauti mnaishia kusema "kamdhalilisha" kamfanya nini exactly???? Katoa size ya mzee nini??? Ako na medium?
Ndio aina ya watu ambao tunao jamiiforumNikajua tu ni mimi sijui kinachoendelea!! Yanawatoooka ila hakuna anayesema ni udhalilishaji gani kafanya zaidi ya kuongea hisia zao na kutoa stress zao🙆🙆
Amesimangwa vipi mbona hamsemiWanasema ukiona mwenzio ananyolewa zako tia maji
Wanaume hatuwezi kukaa kimya wakati Mzee Shusho anaendelea kusimangwa Kila Kona ya Nchi tena na mtu ambaye alikula naye kiapo cha shida na Raha/ugonjwa na taabu 🤗
By the way, naomba ulete Maji tuzime huu moto badala ya Petroli
Muonee huruma Mzee Shusho 🤗
We umejuaje diamond anakula tigo?Mwanamke akiwa introduced na rojo (rost maini) anachanganyikiwa na hasikii kabisa na mondi unaambiwa ndio michezo yake..hakua na namna
Lazma angemuacha mzee...maana mlokole wa ukweli hali tigo..!
Siyo kila kitu ni cha kuongea busara ni kupiga kimya tu keshakuwa mtu mzima yule.Kahojiwa ndio maana kaongea ulitaka awe bubu kwenye mic??
Na tangu lini kuongea hairuhusiwi
Once a bad girl always a bad girl.Amechoka kubeba msalaba.....
Nasimama na Tina 😂
Kwani kaongea kitu ganiSasa kama ksahaamua kuishi kivyake si atulize nyapu anaongea ongea nini?
Kwani kusema nimemuacha mme ili nitimize ndoto zangu ni dhambi????kumuacha mme ni dhambi???Siyo kila kitu ni cha kuongea busara ni kupiga kimya tu keshakuwa mtu mzima yule.
Hayo maneno ya ovyo ni yapi? Mbona mnatoa vitu nusu nusuAmekuwa msema ovyo.
Hafai kwasababu yupo na diamond mbona hii hoja ni dhaifu wewe ulitaka awe na nani ili aonekane mwema?Christina ni Danga kama maadanga mengine ila amejificha kwenye mwamvuli wa uimbaji wa nyimbo za injili. Wee muimbaji wa nyimbo za injili kila siku uko na akina Diamond wapi na wapi?
Ukimsikiliza mara awashauri wanawake wasitoke kwenye ndoa waliojenga kwa miaka kadhaa, mara nimeachana na ndoa ili niwe mchungaji niweze kuhudumia kanisa langu, mara nilikuwa mzuri sana mama kahofia nisiharibike hivo nikaozeshwa kwa lazima. Ameshapata mileage za kutosha hebu atuache kwanza.
Kama ndio kasema hivyo basi tuna wajinga wengi humu jf vitu vinavyosemwa hapa ni kama kuweka chumvi na pilipili nyingiKwani kusema nimemuacha mme ili nitimize ndoto zangu ni dhambi????kumuacha mme ni dhambi???
Mfano narudia ni mfano
Mme wangu hataki mie nifanye kazi, naamua nimuache ili nikalambe dili nzito huko nipate maokoto.....ni dhambi? Nimekosea nini???
Vitu gani hivyo kasema?Da Tina toka awe karibu na WCB lebel sijui kawaje, anaongea vitu ambavyo hakupaswa kuvisema mbele ya umma, hata km ni kweli.