Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hata nyie mkipata hela mnatafuta sasa wenye hadhi wa kula nao.....Eeh bwana, ufanye kazi kwa ajili yako na yake, then akishakaa vizuri kiuchumi anakubwaga, au ukihaso yeye anakichapisha kwa wana mtaani. Endeleeni kuwahurumia mkuu.
Muda huo mlioanza nao kutafuta mkiwa na viatu vimeisha soli mnaona sio hadhi yenu tena, msisingizie wanawake HII NI YETU SOTE😹😹😹