Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Ni huzuni kwakweli.Ndio aina ya watu ambao tunao jamiiforum
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni huzuni kwakweli.Ndio aina ya watu ambao tunao jamiiforum
Maadam mmemkomalia hapa, basi mtuambie hapa hapa kasema nini.Fuatilia kwenye forums mbalimbali mkuu.
Tupeni link tumsikilize.Kasema mengi ila anadai anajuta kuolewa na mzee,Abadai wakati anaolewa alimuwa mrembo binti mdogo tu akaja mzee mmoja akawalaghai wazaxi wake wakamuozesha,sasa amestuka ,eti ujana alikula na nani uzee ale na Tina
Basi kakojoe ulale mkuu, naona unataka kutafuniwa na kusaidiwa kumeza.Ningekuwa mitandaoni ningekuuliza?
Kasema aliyoyasema, soma usipende kutafuniwa.Maadam mmemkomalia hapa, basi mtuambie hapa hapa kasema nini.
Naam, na akioa huyu manzi atapata kichaa. Atakuwa kashikwa pabaya.Ni sahihi na hiki ndio kinachomtesa huyo binti. Mzee aendelee na maisha yake ikiwezekana aoe tena tu.
Ndoa nyingi ziko hivyo wanawake wengi wameolewa na watu wasiowapenda ila sio ajabu kabisa, hilo la kuwapikia watu 11 kama mume hakupasa kuruhusu hicho cos kinamchosha mwanamke maana akimaliza hapo kuna kuosha vyombo na unafanya karibia kila siku huku una kazi yako pia.Kitu pekee nitachokuelewa naona kakosea ni kusema hayo public yalitakiwa atabaki ndani but overall alichozungumza ni sahihi au unasemaje Evelyn SaltAnasema aliolewa bila kupenda.na alikua anaishi nyumba yenye wanaume 11 anawapikia msosi.
Unaamini Tina ugali alikuwa anasonga yeye sio house girlNdoa nyingi ziko hivyo wanawake wengi wameolewa na watu wasiowapenda ila sio ajabu kabisa, hilo la kuwapikia watu 11 kama mume hakupasa kuruhusu hicho cos kinamchosha mwanamke maana akimaliza hapo kuna kuosha vyombo na unafanya karibia kila siku huku una kazi yako pia.Kitu pekee nitachokuelewa naona kakosea ni kusema hayo public yalitakiwa atabaki ndani but overall alichozungumza ni sahihi au unasemaje Evelyn Salt
Kwahiyo mkuu kila mwanamke anaeosha vyombo na kupikia wanaume kwenye familia akisema aite waandishi wa habari si tutashindwa hata kuangalia taarifa ya habari mkuu?Ndoa nyingi ziko hivyo wanawake wengi wameolewa na watu wasiowapenda ila sio ajabu kabisa, hilo la kuwapikia watu 11 kama mume hakupasa kuruhusu hicho cos kinamchosha mwanamke maana akimaliza hapo kuna kuosha vyombo na unafanya karibia kila siku huku una kazi yako pia.Kitu pekee nitachokuelewa naona kakosea ni kusema hayo public yalitakiwa atabaki ndani but overall alichozungumza ni sahihi au unasemaje Evelyn Salt
Keshaopoa Almasi. Wacha kabisaMama mshusha nyavu.
Mkuu soma vizuri kwa utulivu comment yangu utanielewaKwahiyo mkuu kila mwanamke anaeosha vyombo na kupikia wanaume kwenye familia akisema aite waandishi wa habari si tutashindwa hata kuangalia taarifa ya habari mkuu?
Kakosea kuongea kwenye media ila kiuhalisia nayo khaaaa jamani wote hao wa nini sasa...... Kosa lake kuongea ila hapana alikua na mzigoMimi nilivyo msikia kwenye interview anasema alikua anakaa amezungukwa na wanaume 11 kulikua na sababu ya kuongea yote hayo ili tumchukie huyo mume wake au.
Mtoto wa Tandale hapo kadhapiga na anaendelea kupigaSasa hapo mbona mi naona Betina ndio wakuonewa huruma kama ni kweli Mtoto wa Tandale anafanya yake atamla kama samaki atamgeuza ka chapati afu akishakinai anapita hivi hakuna asiye mjua Mondi kwenye suala la mapenzi ye anaafataga kiu yake na tamaa zake tu,
yaani ni suala la muda tu Betina atakuja kulialia kwenye media Mondi harembagi mwandiko afu bongo kuna pisikali sana kuzifananisha na huyu mtumishi wa mchongo, tena asipoangalia anaweza kuharibu na brand yake akapotea kama Mbasha flora.
🤣🤣🤣🤣🤣mungu wa mafuta ya upako, unga, maji na chumvi ila si Mungu Muumba mbingu na nchi.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Kakosea kuongea kwenye media ila kiuhalisia nayo khaaaa jamani wote hao wa nini sasa...... Kosa lake kuongea ila hapana alikua na mzigo
Kuna mwanaume mmoja alizaa nje ya ndoa.Mwanamke nae si akazaa nje ya ndoa.Mmewe alichanganyikiwa yaani mpaka leo hayupo sawa.Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu.
Ila kasahau yule mzee ndo alilipa recondings zake na leo anajulikana .Asingeolewa na huyo mzee nani angemfahamu leo ?Kasema mengi ila anadai anajuta kuolewa na mzee,Abadai wakati anaolewa alimuwa mrembo binti mdogo tu akaja mzee mmoja akawalaghai wazaxi wake wakamuozesha,sasa amestuka ,eti ujana alikula na nani uzee ale na Tina