Wanaume tupaze sauti tumtetee Mzee Shusho kwa udhalilishaji anaofanyiwa na Christina

Kasema mengi ila anadai anajuta kuolewa na mzee,Abadai wakati anaolewa alimuwa mrembo binti mdogo tu akaja mzee mmoja akawalaghai wazaxi wake wakamuozesha,sasa amestuka ,eti ujana alikula na nani uzee ale na Tina
Tupeni link tumsikilize.

Ila analo jambo, asikilizwe.
 
Anasema aliolewa bila kupenda.na alikua anaishi nyumba yenye wanaume 11 anawapikia msosi.
Ndoa nyingi ziko hivyo wanawake wengi wameolewa na watu wasiowapenda ila sio ajabu kabisa, hilo la kuwapikia watu 11 kama mume hakupasa kuruhusu hicho cos kinamchosha mwanamke maana akimaliza hapo kuna kuosha vyombo na unafanya karibia kila siku huku una kazi yako pia.Kitu pekee nitachokuelewa naona kakosea ni kusema hayo public yalitakiwa atabaki ndani but overall alichozungumza ni sahihi au unasemaje Evelyn Salt
 
Unaamini Tina ugali alikuwa anasonga yeye sio house girl
 
Sasa hapo mbona mi naona Betina ndio wakuonewa huruma kama ni kweli Mtoto wa Tandale anafanya yake atamla kama samaki atamgeuza ka chapati afu akishakinai anapita hivi hakuna asiye mjua Mondi kwenye suala la mapenzi ye anaafataga kiu yake na tamaa zake tu,

yaani ni suala la muda tu Betina atakuja kulialia kwenye media Mondi harembagi mwandiko afu bongo kuna pisikali sana kuzifananisha na huyu mtumishi wa mchongo, tena asipoangalia anaweza kuharibu na brand yake akapotea kama Mbasha flora.
 
Ndoa nyingi ziko hivyo wanawake wengi wameolewa na watu wasiowapenda ila sio ajabu kabisa, hilo la kuwapikia watu 11 kama mume hakupasa kuruhusu hicho cos kinamchosha mwanamke maana akimaliza hapo kuna kuosha vyombo na unafanya karibia kila siku huku una kazi yako pia.Kitu pekee nitachokuelewa naona kakosea ni kusema hayo public yalitakiwa atabaki ndani but overall alichozungumza ni sahihi au unasemaje Evelyn Salt
Kwahiyo mkuu kila mwanamke anaeosha vyombo na kupikia wanaume kwenye familia akisema aite waandishi wa habari si tutashindwa hata kuangalia taarifa ya habari mkuu?
 
Mimi nilivyo msikia kwenye interview anasema alikua anakaa amezungukwa na wanaume 11 kulikua na sababu ya kuongea yote hayo ili tumchukie huyo mume wake au.
Kakosea kuongea kwenye media ila kiuhalisia nayo khaaaa jamani wote hao wa nini sasa...... Kosa lake kuongea ila hapana alikua na mzigo
 
Sasa hapo mbona mi naona Betina ndio wakuonewa huruma kama ni kweli Mtoto wa Tandale anafanya yake atamla kama samaki atamgeuza ka chapati afu akishakinai anapita hivi hakuna asiye mjua Mondi kwenye suala la mapenzi ye anaafataga kiu yake na tamaa zake tu,

yaani ni suala la muda tu Betina atakuja kulialia kwenye media Mondi harembagi mwandiko afu bongo kuna pisikali sana kuzifananisha na huyu mtumishi wa mchongo, tena asipoangalia anaweza kuharibu na brand yake akapotea kama Mbasha flora.
Mtoto wa Tandale hapo kadhapiga na anaendelea kupiga
 
Kasema mengi ila anadai anajuta kuolewa na mzee,Abadai wakati anaolewa alimuwa mrembo binti mdogo tu akaja mzee mmoja akawalaghai wazaxi wake wakamuozesha,sasa amestuka ,eti ujana alikula na nani uzee ale na Tina
Ila kasahau yule mzee ndo alilipa recondings zake na leo anajulikana .Asingeolewa na huyo mzee nani angemfahamu leo ?
 
Back
Top Bottom