gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
Wana MMU, heri ya mei mosi
Leo naomba nije na hoja hapa tuijadili sote kuhusu akina baba mie nawauliza hivi kwanini wanapenda kuwachumisha wengine dhambi? Yaani akina baba kuwachumisha watoto wao dhambi hawaoni tabu. Hivi mnapotelekezaga wake zenu na watoto ama wazazi wenzenu na watoto alafu mama ana hustle na watoto hadi wanatoboa huwaga nini kinawapata kwenye akili zenu?
Mwishoni sasa watoto wakitoboa mnaaza kulalamika, kuacha malaana ya ajabu ajabu, mnalazimisha kusaidiwa mbaya zaid huwaga hamjui mbele mnachokaga vibaya mkirudi masukari ndo mnayo achilia mbali, Gauti na ma Kansa. Kinachowashika akili ni kitu gani? Na kwanini kwenu nyie moyo wa kusamehe basi hamnaga lakin ikitokea mnahitaj msaada mnataka msamehewe?
Yaani nimekuwa nikichunguza familia nyingi zilitolekezwa na akina baba yaani wengi niliowaona huwaga wanarudi wakiwa na hali mbaya sasa najiuliza ivi walipokuwa wanaaacha hizi familia walikuywa wanawaza nini? Hivi hamuoni kwamba mnawachumisha dhambi wake/wazazi wenzenu na watoto wenu? Manake wasipokuhudumia ni dhambi afu akikuhudumia kwa shingo upande na penyewe tena ni dhambi, yaani mnatesa wenzenu bila sababu kabisa.
Sipendi kutoa mifano ya watu mnaowajua manake sitaki kuhukumu lakini nataka nijue kwanini huwa mnafanya haya kama akina baba/wanaume.