Wanaume tupeni majibu sahihi kwanini mnapenda kuwachumisha wengine dhambi?

Wanaume tupeni majibu sahihi kwanini mnapenda kuwachumisha wengine dhambi?

Kwa kweli hawa watu hawajielewi, hawajitambui wala hawajijui. namuheshimu sana mwanaume hata kama kazaa nje ila anamuhudumia malaika asiye nahatia, ila jitu linalotelekeza watoto aisee naweza kumchoma bisibisi kwa kweli,

Ngoja waje watoe sabubu wenyewe za msingi za kwanini wanafanya hivi.
 
Nakuambia usicheze na nguvu ya Limbwata dada yangu maana mwanzo ni mzuri ila baada ya kukolezewa madawa huyo siyo binadamu tena ila ni nusu pepo, sasa kama mbaba ameshageuka pepo mtu, ataweza kuishi na binadamu.... Nina hasira sana maana kama siyo mipango ya mungu na uvumilivu wa mama yangu labla ningekuwa teja au chokora huku mdingi anakula vya laana. Biblia inasema "Enyi wanawake waombeeni waume zenu" Kuna kitu mungu aligundua hadi kuweka hili agizo.... Ila kwa niliyoyaona tangu nakua, baadhi ya wanaume hawakustaili kuuona utukufu wa binadamu.. real bora wangeumbwa kuku ili warukie kila uchapo.
jamani Tamatheo kweli umesema kitu kigumu sana apa, mie iyo inayoitwa limbwata hivi halimuachii huyo mbaba akili ata kidogo ya kuona watoto na mkewe kwamba ni watu na wanamuhitaj?

nimeipenda hii ya wengine walipaswa kuumbwa kuku waruke kila uchao
 
Last edited by a moderator:
Muunganiko wenye nguvu kati ya baba na mtoto hauishii kwenye kupiga bao na kutunga mimba...bali inaenda hadi kwenye malezi na matunzo ya mtoto..kuanzia kimwili na kiroho......
 
ivi mdogo mdogo hawa unaowaacha nyuma wao ni vyuma? Kwamba hizi shida hazitawagusa?
Ni kweli zitawagusa na si kwamba nafurahishwa na hii tabia bali naelezea kinachowafanya wafanye hivyo unajua kuna wanaume ambao wapo tayari kupigania familia zao na wengine hawako tayari hivyo kipindi kigumu wanaume hawa huona afadhali waache familia zao kuliko kushuhudia familia ikifa kwa njaa kwao huona kwamba ni muda ambao waende no matter what happens na hii ndo hatua mbaya sana
 
Kwa kweli hawa watu hawajielewi, hawajitambui wala hawajijui. namuheshimu sana mwanaume hata kama kazaa nje ila anamuhudumia malaika asiye nahatia, ila jitu linalotelekeza watoto aisee naweza kumchoma bisibisi kwa kweli,

Ngoja waje watoe sabubu wenyewe za msingi za kwanini wanafanya hivi.
wanasema eti chanzo ni sisi nwanwake lakin najiuliza ivi ilo limbwata wanalosema ndio chanzo kwann liwahusu wao tuu?
 
sasa kama mko incompatible ina maana umekuja mkulijua hilo baada ya kuwa na watoto 3,4,5,6,7,8,
kwann usingeiona iyo kabla ya kuzaa? na je hiyo compatibility haiwez kutengenezwa mtu ukishajua ilo ndo tatizo?

manake hata kwenye kemia muda mwingine unatafuta njia ya ku optimize ili upate farmula kamili

Jibu ni hili hapa:

1. Binadamu hubadilika, wengi wao hubadilishwa na mfumo wa maisha. Mabadiliko yaweza kuwa +ve ama -ve!

2. Wangekuwa wanajua kuwa maisha yatakuja kumbadilisha me/ke basi pengine wangechukua tahadhari mapema. Na ndo maana pamoja na manizzle kumzalisha huyo dada bado kaona hamfai kwenye taasisi ya ndoa, wanaishia kulea mtoto kila mtu akimsaka wake compatible! Kachukua tahadhari mapema!

Hata hivyo usisahau kuwa mostly love is conditional, if conditions are not met love will break!
 
Last edited by a moderator:
Hata mm yanayotelekeza watoto nayahate
 
ivi wewe una muadhibu mwanao kwa kosa la mama yake?
imagine akija kukosa bright future utajilaumu kwa kiasi gani?
ivi umewaza waweza kumkuta siku mwano uliyempenda ni msukuma mikokoteni njian (sina maana nawadharau) afu unamuona wa rafiki yako ni afisa fulan ana maisha mazuri na wewe ulikuwa na uwezo wa kumpa maisha mazuri ili awe na future nzuri kama huyo wa rafiki yako utajiskiaje?

acha kuwa mcheleweshaj wa neema zamwanao kuna wazazi nenda kwa kufuata taratibu chukua mwanao mlee vizuri aje ajifae maishani.

Let me ask you, yaani niishi kwa mateso ambayo hayavumiliki kwa mtu ambaye hana muelekeo? Sikua kabisa radhi mtoto kuondoka lakini kwa kuwa ni mzazi mwenzangu kaenda home na wanamjua akasema anakwenda likizo atamrejesha na amegoma kumleta labda wewe unashauri nifanyaje? Nikamuoe?
 
Ni kweli zitawagusa na si kwamba nafurahishwa na hii tabia bali naelezea kinachowafanya wafanye hivyo unajua kuna wanaume ambao wapo tayari kupigania familia zao na wengine hawako tayari hivyo kipindi kigumu wanaume hawa huona afadhali waache familia zao kuliko kushuhudia familia ikifa kwa njaa kwao huona kwamba ni muda ambao waende no matter what happens na hii ndo hatua mbaya sana
mie hii hoja ya ugumu wa maisha afu mtu anatake advantage ya kusaidiwa na mtu baki mie binafsi siiafiki hata kidogo
ivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho?
 
Jibu ni hili hapa:

1. Binadamu hubadilika, wengi wao hubadilishwa na mfumo wa maisha. Mabadiliko yaweza kuwa +ve ama -ve!

2. Wangekuwa wanajua kuwa maisha yatakuja kumbadilisha me/ke basi pengine wangechukua tahadhari mapema. Na ndo maana pamoja na manizzle kumzalisha huyo dada bado kaona hamfai kwenye taasisi ya ndoa, wanaishia kulea mtoto kila mtu akimsaka wake compatible! Kachukua tahadhari mapema!

Hata hivyo usisahau kuwa mostly love is conditional, if conditions are not met love will break!

love me for who i am and not for who you want i to be!
mbona akina mama sisi huwa hatuwaachi wauame zetu hata kama tunaona hawako kama tupendavyo?
 
Muunganiko wenye nguvu kati ya baba na mtoto hauishii kwenye kupiga bao na kutunga mimba...bali inaenda hadi kwenye malezi na matunzo ya mtoto..kuanzia kimwili na kiroho......

sasa inakuwaje wababa hamulion hili?
 
Kwa kweli hawa watu hawajielewi, hawajitambui wala hawajijui. namuheshimu sana mwanaume hata kama kazaa nje ila anamuhudumia malaika asiye nahatia, ila jitu linalotelekeza watoto aisee naweza kumchoma bisibisi kwa kweli,

Ngoja waje watoe sabubu wenyewe za msingi za kwanini wanafanya hivi.

Mostly mnatuzingua, hamtuelewi wala hakuna sababu nyingine zaidi! Sasa ujue wanaume wengi hawapendi mvutano na wanawake, so wanaamua kuchukua hamsini zao mbele kwa mbele!
 
Hakuna dhambi wala laana kuacha kuwasaidia watu kama hao ...ila wao huwa wanapata laana kwa waliyoyafanya ndo maana huwa wanarudi na hali MBAYA

sasa anaporrudi na hali mbaya unaweza na wewe mtoto ama mke kumtelekeza?
jamii itakuonaje? na pia wewe binafsi nafsi yako itakuwa na amani?
 
mie hii hoja ya ugumu wa maisha afu mtu anatake advantage ya kusaidiwa na mtu baki mie binafsi siiafiki hata kidogo
ivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho?

Afadhali wewe unaweza kujadilia lakini ni lazima utambue uwezo wa kufanya maamuzi ni kufikiri ni tofauti baina ya mtu na mtu. Mtoto ana miaka 2 na nusu naye anakuambia hadi afikishe miaka saba. Kuna vitu vingine ni ngumu kumeza na chanzo ni hawa akina dada
 
mostly mnatuzingua, hamtuelewi wala hakuna sababu nyingine zaidi! Sasa ujue wanaume wengi hawapendi mvutano na wanawake, so wanaamua kuchukua hamsini zao mbele kwa mbele!

mmh............eti tunawazingua ]
ivi nyie ndo malaika kwamba hamzingui wake zenu? Kwann mnakosaga mioyo ya kurudi nyuma?
 
Tunaona, si ndio maana tunawaoa! Sema wanatuchenjia mbeleni! Kujifanya hawatuelewi!

ivi unamuoa mtu afu unakuja kumtelekeza eti kakukosea kweli wewe uko na huruma?
 
wanasema eti chanzo ni sisi nwanwake lakin najiuliza ivi ilo limbwata wanalosema ndio chanzo kwann liwahusu wao tuu?

My hakuna limbwata wala nini, wanaume wengi wanatamaa sasa anapojikuta kampa mimba mwanamke ambaye sio chaguo lake anaweza kumlazimisha bint atoe na akikataa anatoka nduki mita 1000, hapo hata mtoto hana habari nae. siku zote wanawake kwa hili ni wahanga kabisa.
 
love me for who i am and not for who you want i to be!
mbona akina mama sisi huwa hatuwaachi wauame zetu hata kama tunaona hawako kama tupendavyo?

mie hii hoja ya ugumu wa maisha afu mtu anatake advantage ya kusaidiwa na mtu baki mie binafsi siiafiki hata kidogo
ivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho?

ivi kwani ukikaa tukajadiliana hatuwez kufikia suluhisho? = = =This is condition namba moja kwanini baba c amekuchagua among others! Kama hajawahi kukuambia, basi leo nakuambia kwa niaba yake. Kama yupo home hapo muuonyesha hii comment uone atakavyokupa busu kuuuubwa! Hivyo habari ya love me as I am ni nadharia tu! Kwann hujwahi kusikia wadada wakisema ooohhh mara me huyu yupo hot na blah blah kibao...hizo ndo conditions zenyewe attached and MUST be maintained throughout!

Wanawake pia wanaacha wanaume kisailensi zaidi...soma kitabu cha bible cha mithali utaelewa ninachomaanisha hapa kuhusu jinsi mwanamke anavyomuacha mwanamme!

Makelele tu yanatutosha kutukimbiza ndoani!
 
my hakuna limbwata wala nini, wanaume wengi wanatamaa sasa anapojikuta kampa mimba mwanamke ambaye sio chaguo lake anaweza kumlazimisha bint atoe na akikataa anatoka nduki mita 1000, hapo hata mtoto hana habari nae. Siku zote wanawake kwa hili ni wahanga kabisa.

yaani hapa nakupa like 100 ivi wanaporuka viunzi sijui wanakuwa wanawaza watoto hatakua wakubwa hawa?
 
Back
Top Bottom