gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
- Thread starter
- #161
gfsonwin
katika dunia kuna mambo mengi sana ya kuumiza japo yapo mazuri pia
usipotoa msaada inakuwa lawama hadi ukoo kama vile wanajua ulifikaje hapo ulipo........labda ikitokea kwa huruma ya mtu na mtu basi inabidi kusaidia kwa shingo upande maana wakati mwingine kuna kale ka damu kakuchangia kanakusukuma.
yaani unajua Mungu hutizama wewe unatakiwa kufanya nini na sio wewe ulifanyiwa nini.......kwa iyo ni wajibu wa mke kumtunza ata kama alikuacha miaka 30. Ila inaumiza sanaa