Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
Chanzo kiubwa cha wakina baba kutelekeza familia ni hao hao wanawake. Kwani anapotelekeza sehemu moja ujue kuna sehemu nyingine anahudumia.
kwa hivyo wanaume akili za kuamua huwa hamna khah!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo kiubwa cha wakina baba kutelekeza familia ni hao hao wanawake. Kwani anapotelekeza sehemu moja ujue kuna sehemu nyingine anahudumia.
gfsonwin ukisoma huu ujumbe kwa utulivu utabaini kuwa maamuzi mengi wanaume wanayafikia kwa sababu ya makelele. Umetoka kwenye mishe huko unafika nyumba ku relax mara topic korofi inaanzishwa, guess what next! Kila mtu anachukua njia yake to cut the story short!
Wanaume wengi ni watu wa mikakati na mipango wanapenda sana maisha ya utulivu!
Usemalo ni kweli ila huwezi lazmisha roho impende mtu kma humpendi toka rohoni,kufake furaha n jambo gumu sana ni bora uwe muwazi kumweleza 2 kua nitalea mtoto kukuoa cwezi.kulazmisha furaha ni ngumu sana mana furaha inakuja automaticaly rohoni mimi n muhanga w jambo hilo i
kwa hivyo wanaume akili za kuamua huwa hamna khah!
Hilo ni gunia l msumari ukimuoa ni kuongeza matatizo n kukosa furaha y ndoa kma uliishi nae ukaona hakufai ukirudi hpo stress zitakuua.mimi nlipitia maisha hyo ila nlionyesha msimamo wng mtoto naishi nae mama yke alinisumbua ikafikia mahali ningepata murder case ila mungu aliniepusha
Kaka bora hata wewe unanielewa hila hivi viumbe. Ningekua nipo huko kwanza mtoto asingetoka lakini kwa kuwa sina namna nimeamua tu kuwacha yaendelee. Kinachonisikitisha zaidi ni kwamba mtoto atakua mzembe atapata malezi ya hovyo kwa ----- yule ambaye hajui hata mtoto anahitaji nini? Yeye anaona kumchukua mtoto ananikomoa kumbe anamuumiza mtoto
Huyu mzazi mwenzio mnakaa mjini mmoja kma ndio tafuta shule umlipie mtoto pia usiache kutoa matumizi y mtoto wko
Hapana mi sipo tz kaka
Ok nenda nae polepole toa matunzo itafika mahali roho itamsuta atakubali uchukue mtoto kua n subra tu
Upo sahihi sana ila ukijaribu kuchunguza kabla ya baba kuacha watoto unakuta huko ndan ya nyumba yao kulikuwa na sinto fahamu ya muda sana na wanaume unajua tunanyanyaswa sana siku hizi ni kina mama yaan ni siri yetu, Na unakuta mwanamke anakuletea mapozi kisa tu mmeshafunga ndoa ataleta timbwili kila kukicha inafikia had haki ya ndoa tunanyimwa hafu ukimwangalia mwanamke mwenyewe ukimuamilia hata dk achukue kabla hujamharibu sura na hapo watoto wako kwenye age ya kisheria kuwa inatakiwa wawe chin ya uangalizi wa mama...unadhan nin kinafuata hapo?
Lizzy karibu
ivi usipmuonea huruma mtu kama huyu ni dhambi?
well leo nimekutana na kisa hiki, mama tena baba kijana alitelekeza familia for 8 yrs leo hii eti mkewe wa ndoa anapigiwa simu mumeo kapata ajali mbaya sana iringa na kalazwa hosp ya rufaa iringa, huyu mdada kwao ni dodoma na hivyo alipotelekezwa akarudi dom kwa ndg zake kisha kaka yake akamchukua kuja mjin na wanae akabaingaiza maisha ndo akaweza kujenga huku uswen kwetu.
sasa huyu dada anasema jaman ivi mie naenda kupitia wapi? je niseme naenda kwa wakwe ama? na je nikimsusa inakuwaje?
mbaya zaid wifi yake anampigia simu jaman wifi njoo yaan hata mtu w akumuogesha hatujapata?? uwiii nimeshindwa kumwambia aende ama asiende
dada mkubwa hata kama kosa ni kubwa kiasi cha kutosameheka sidhani kama ni sahihi kuacha familia. Mimi huwa nasema hata iweje sitaruhusu mwanangu aumie kwa sababu ya mwanamke. Nifanya kila kilicho katika uwezo wangu kuhakikisha wanangu wanakuwa katika hali nzuri. Na hii wapo wanaume wengi tu wanafanya.ukweli sikupanga kuntaja huyu baba ila amenifanya nikawaza sana ivi ni kitu gani hasa kilikamata akili yake?
ivi ni kosa gani mama wa mwanao atakalo fanya wewe usisamehe for the sake ya mtoto wako?
ivi itakugharimu kiasi gan kuwatelekeza afu uje uwakute wametoboza kwenye maisha yao?
Bora usilijue hili liitwalo limbwata maana limeharibu familia nyingi.... Ila kikubwa ni nguvu za mungu ambazo hazishindwi popote.jamani Tamatheo kweli umesema kitu kigumu sana apa, mie iyo inayoitwa limbwata hivi halimuachii huyo mbaba akili ata kidogo ya kuona watoto na mkewe kwamba ni watu na wanamuhitaj?
nimeipenda hii ya wengine walipaswa kuumbwa kuku waruke kila uchao
Tunazo nyingi sana, wanawake kwa kulijua na kulitambua hilo ndiyo maana wanafanya ndivyo sivyo.
haueleweki.
Sifa ya kiume sio kurudia matapishi yako...
hiyo sio sifa mbona wengi wanarudi kwa magoti kwa familia walizoziacha mi naona sifa ya binadamu si kurudia matapishi kama wewe mama uliachwa hakuna haja ya kumpokea mtu na kama wewe baba uliachwa au kuachwa hakuna haja ya kurudi nyuma kwani maisha ni kwenda mbele na si kurudi nyuma