Wanaume tupeni majibu sahihi kwanini mnapenda kuwachumisha wengine dhambi?


yaani unajua Mungu hutizama wewe unatakiwa kufanya nini na sio wewe ulifanyiwa nini.......kwa iyo ni wajibu wa mke kumtunza ata kama alikuacha miaka 30. Ila inaumiza sanaa
 
yaani unajua Mungu hutizama wewe unatakiwa kufanya nini na sio wewe ulifanyiwa nini.......kwa iyo ni wajibu wa mke kumtunza ata kama alikuacha miaka 30. Ila inaumiza sanaa


Inaumiza sana pia kwa watoto ambao wanaelewa taabu na shida walizopitia kufika hapo wakiwa na mama yao machungu yanapungua kama mama alikuwa vizuri angalau ugumu hautakuwepo labda maumivu yatakuwepo kwenye kukosa upendo wa baba
 
Jibu ni raisi sana....Ni kwamba,mwanaume hajui hata chembe moja ya uchungu watak wa kuzaliwa kwa mtoto''..Na hili ndo linalotusumbua toka kuumbwa kwa ulimwengu...ndo maana inakua raisi sana baba kutelekez.familia yake kuliko mama..
Sababu nyiingi zitatolewa lakini chanzo cha izo sabab zote ni hii hapa....period
 
Tufafanulie upendo alionao mwanamke anayetoa mimba au kutupa kichanga.
 
Mambo yote unayoyafanya epuka kufanya mambo ya kuifurahisha jamii huku wewe ukiteketea moyoni.
Historia inaonesha hakuna aliyewahi kufanikiwa kuifurahisha jamii
Hata mitume na manabii walifeli kwenye hili.
 
Kamchukue mtoto we fala,kwani akijiua inakuhusu nini?
Acha afe ila mtoto wako apate matunzo yanayostahili toka kwa babake.
Ikiwa una hakika mama hawezi kumlea mtoto ipasavyo basi ustawi wa jamii watakukabidhi umlee.
Kamchukue mtoto acha ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…