Kivipi umarioo? Nijuavyo umarioo ni kupenda kuhudumiwa na mwanamke. Kwani rafiki yako kaomba ahudumiwe? Anajitahidi kuhudumia gf anamwambia asante au sihitaji tatizo nini. Yeye aendelee kumnunulia zawadi tatizo kazoea kuhonga ndio apewe. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi.
Mimi napenda sana wanawake jkama huyo nachukia sana ombaomba na kwa kusema hivyo zawadi nanunua na tukienda out nagharamia kila kitu na msaada natoa ikibidi,ila ombaomba hawa kwa kweli NO!!!
Mkuu hao omba omba wenyewe wamehalalisha kabisaa....tena ni haki na wajib wa mwanaume kutimiza maombi yao....
Akimletea zawadi za gharama binti huwa anashukuru ila huwa anamhurumia kwa kumwambia hupaswi kufanya hivyo. Wala sipendi wewe kuingia gharama kwa sababu yangu.
Kuna kipindi huwa anamlazimishia kumpa pesa, binti wa watu huwa anakataa kabisa. Jamaa anachojaribu huwa ni kumpa kwa lazima na pia huwa anampa kwa njia ya kumuachia bila ya yeye kujua.
Ni jirani yetu hapa hapa, ila naomba nisikuambie jina lake.
mito asingemuacha...
Ha ha ha...ila uzuri na wew ni mtoaji mzuri...so hatonishawishi labla Heaven Sent atashawishika....
sumbai....
Namaanisha "necha" ya mwanaume ni kuhudumia, kumbuka mwanaume ni mlinzi na mlishi mkuu wa familia. Hususan wanaume wa kiafrika. Na necha ya wanawaje kutafuta ulinzi kwa mwanaume...kuwa na mwanaume ambaye anajua atamlinda na kumtunza yeye na watoto
Sasa kama mkitoka out bills zote mdada ana clear...hajawahi kukuomba hata hela ya saluni..... ukienda kwake kuko vizuri mara tano zaidi yako. Anachohitaji ni liwazo ty...kila mwanaume akijututumua mdada hastuki....
Hapo mwanume Atapata wapi confidence???? .... lazima mwisho wa siku 1. Akinbie au 2. Atafute mchepuko utakaojaza nafasi
huyo rafiki yako amshukuru mungu kabisa kwani wanawake km hao tupo wachache sn akimuacha tu imekula kwake
Naomba nkupe "like" lizybert .Hakika utaishi maisha marefu sana mungu akubariki kwa kila jambo uendelee na moyo huohuo.Huyo jamaa atakuja kujuta aisee sio siri
huyo rafiki yako amshukuru mungu kabisa kwani wanawake km hao tupo wachache sn akimuacha tu imekula kwake
Naona unajipigia promo
Ila kuna nafasi ya kumuongeza mtu mwingine anayekufaa na kukuelewa zaidi....hakuna jack mie nina wangu anayenifaa na ananielew pia