Wanaume tupewe nini?

Wanaume tupewe nini?

Kivipi umarioo? Nijuavyo umarioo ni kupenda kuhudumiwa na mwanamke. Kwani rafiki yako kaomba ahudumiwe? Anajitahidi kuhudumia gf anamwambia asante au sihitaji tatizo nini. Yeye aendelee kumnunulia zawadi tatizo kazoea kuhonga ndio apewe. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi.

Mimi napenda sana wanawake jkama huyo nachukia sana ombaomba na kwa kusema hivyo zawadi nanunua na tukienda out nagharamia kila kitu na msaada natoa ikibidi,ila ombaomba hawa kwa kweli NO!!!

Mkuu hao omba omba wenyewe wamehalalisha kabisaa....tena ni haki na wajib wa mwanaume kutimiza maombi yao....
 
Mkuu hao omba omba wenyewe wamehalalisha kabisaa....tena ni haki na wajib wa mwanaume kutimiza maombi yao....

Wapo wenye akili zao.....ombaomba unapiga unatupa kuleeeeeeeeee!
 
Akimletea zawadi za gharama binti huwa anashukuru ila huwa anamhurumia kwa kumwambia hupaswi kufanya hivyo. Wala sipendi wewe kuingia gharama kwa sababu yangu.

Kuna kipindi huwa anamlazimishia kumpa pesa, binti wa watu huwa anakataa kabisa. Jamaa anachojaribu huwa ni kumpa kwa lazima na pia huwa anampa kwa njia ya kumuachia bila ya yeye kujua.

Hahahaha mwambie amuoe amuweke ndani ndiyo ataisoma namba vizuri, wanawake ni wazuri sana wa kuect mkanda wa video za namna hii mpaka basi
 
Hahahaha mwambie amuoe amuweke ndani ndiyo ataisoma namba vizuri, wanawake ni wazuri sana wa kuect mkanda wa video za namna hii mpaka basi

Ha haaa...mkuu sio picha hii...
 
Love anaishi wapi huyo rafiki yako? Au ni yupi? (Nauliza tuu)
Huyo mwanaume atakuwa ni mito..
 
Last edited by a moderator:
Love anaishi wapi huyo rafiki yako? Au ni yupi? (Nauliza tuu)
Huyo mwanaume atakuwa ni mito..

Ni jirani yetu hapa hapa, ila naomba nisikuambie jina lake.
mito asingemuacha...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtoa mada hebu naomba usifanye makosa.Nitupie no.ya huyo malkia anaeteswa na huyo ---- asiejielewa (loser).Asap nakusubiri inbox
 
huyo rafiki yako amshukuru mungu kabisa kwani wanawake km hao tupo wachache sn akimuacha tu imekula kwake
 
sumbai....
Namaanisha "necha" ya mwanaume ni kuhudumia, kumbuka mwanaume ni mlinzi na mlishi mkuu wa familia. Hususan wanaume wa kiafrika. Na necha ya wanawaje kutafuta ulinzi kwa mwanaume...kuwa na mwanaume ambaye anajua atamlinda na kumtunza yeye na watoto

Sasa kama mkitoka out bills zote mdada ana clear...hajawahi kukuomba hata hela ya saluni..... ukienda kwake kuko vizuri mara tano zaidi yako. Anachohitaji ni liwazo ty...kila mwanaume akijututumua mdada hastuki....

Hapo mwanume Atapata wapi confidence???? .... lazima mwisho wa siku 1. Akinbie au 2. Atafute mchepuko utakaojaza nafasi

Huyo jamaa atakuwa pimbi tu.Mi demu akiniskiliza tu baaasss! Mengine yote yatakuwa mazungumzo baada ya habari akiwa jeuri hatufiki popote.
 
Last edited by a moderator:
huyo rafiki yako amshukuru mungu kabisa kwani wanawake km hao tupo wachache sn akimuacha tu imekula kwake

Naomba nkupe "like" lizybert .Hakika utaishi maisha marefu sana mungu akubariki kwa kila jambo uendelee na moyo huohuo.Huyo jamaa atakuja kujuta aisee sio siri
 
Last edited by a moderator:
Naomba nkupe "like" lizybert .Hakika utaishi maisha marefu sana mungu akubariki kwa kila jambo uendelee na moyo huohuo.Huyo jamaa atakuja kujuta aisee sio siri

amina ahsante kwa barak zako nimezipokea ndg yang. unajua wanaume ht celew wakati mwingine najaribu kuwafikiria ht celewi wanataka nn..... cz wakichunwa lawam wacpochunwa matatizo.... hd leo hawajui kutofautish nani kimad na nan anafaa kuwa mke.... mungu awasaidie sn
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mtoa mada hebu naomba usifanye makosa.Nitupie no.ya huyo malkia anaeteswa na huyo ---- asiejielewa (loser).Asap nakusubiri inbox

Sawa mkuu ngoja nifanye mazungumzo naye,mkuuu
 
Back
Top Bottom