sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 19,955
- 45,207
- Thread starter
- #41
Kivipi umarioo? Nijuavyo umarioo ni kupenda kuhudumiwa na mwanamke. Kwani rafiki yako kaomba ahudumiwe? Anajitahidi kuhudumia gf anamwambia asante au sihitaji tatizo nini. Yeye aendelee kumnunulia zawadi tatizo kazoea kuhonga ndio apewe. Ukizoea vya kunyonga vya kuchinja huwezi.
Mimi napenda sana wanawake jkama huyo nachukia sana ombaomba na kwa kusema hivyo zawadi nanunua na tukienda out nagharamia kila kitu na msaada natoa ikibidi,ila ombaomba hawa kwa kweli NO!!!
Mkuu hao omba omba wenyewe wamehalalisha kabisaa....tena ni haki na wajib wa mwanaume kutimiza maombi yao....