Minafikiri, kumuoa binti sio kumpa hifadhi au ulitaka kusema kumstiri??wao ndo watuheshimu kwa kuwahifadhi,wapo wengi sana siku hizi inatakiwa waendelee kutuheshimu,wakizingua dk 0 unapata mwingine.
aisee, kama umempata wa hivyo hongera sana.Imagine huna hela huna lolote la maana ila kuna mwanamke kaamua uwe mume wake na kakuzalia watoto na hakuchit kamwe katulia kwenye ndoa na akitongozwa anawasemelezea kwako waliomtongoza .mwanamke kama huyu muheshimu sana akimlilia mungu wake KWA maboko unayomfanyia mungu atamjibu. Imagine una kichogo cha mkia wa jogoo na unapendwa!!!!!!
Unamuhifadhi kwamba ulimkuta chini ya mti?wao ndo watuheshimu kwa kuwahifadhi,wapo wengi sana siku hizi inatakiwa waendelee kutuheshimu,wakizingua dk 0 unapata mwingine.
Kwani huyo mwanamke unaokotaga mtaani hawana hifadhi kumbe.. wanaume wapo wengine pia kama Hana thamani kwako atapata thamani kwengine.wao ndo watuheshimu kwa kuwahifadhi,wapo wengi sana siku hizi inatakiwa waendelee kutuheshimu,wakizingua dk 0 unapata mwingine.