Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

Napoleone

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2012
Posts
10,087
Reaction score
16,036
Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin.

Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3 namwona yuko kwenye boda boda na ni maj ya kunde yupo kawaida kinoma noma..nataman nimpe lift sku1

Yaan huwez amin...nkasema dah hawa ma slay queen wa mtandaon..bora madem zetu hawa ambao tunaweza wachkulia poa ila kiukwel wako vzur sanaaa live

Huwa nakutana mara nying na wasanii na bongo muvu viwanja huko..sjui kina vanesa au zuchu au lulu ,amba lulu...etc...live hawako hvyo kama mtandaon...kabisa yan.

Kwanza wafup kinoma..af wadogo wadogo..huyo gig sjui makalio huwa anayatoa wap insta..live hayuko vile.

Aisee leo imenifanya nimu apreciate sana demu wangu kuwa ni chuma kwel.

Uzi wa kijinga asubuh asubuh...holiday yangu inaisha kesho buana.

Uzi tayar
 
wape wape vidonge vyao, wakishindwa wakitema, iyo shauri yao
 
Unaoa lini Big bro ??
tuje tuhangaike na pilau
 
Back
Top Bottom