Bwana wee yaani ni balaa tupu. Wanatudanganya sana hawa wanawake.Nyie ndo wa kwanza kumtoa kasoro muumbaj kwa kuweka kope fake..nywele fake.kucha fake..rangi ya mwili mnachubua..maziwa fake na ma.tako fake
Mmemkosoa muumba saana..deal na hilo kwanza kabla ya kunisema mim
Nanhuyu alie leta hizi filter kwa kweli kaharibu mambo