Mim kila siku natoka asubuh kuna eneo flan napitab..sasa leo ni mara ya tatu namwona mdada flan hiv famous sana instagram kwa picha zake nzur nzur m classy....picha zake ni viwanja vikal na kwenye instagrm she is veeeeery light skin.
Ila sasa huyu dada had naandika uzi huu asubuh leo mara ya 3 namwona yuko kwenye boda boda na ni maj ya kunde yupo kawaida kinoma noma..nataman nimpe lift sku1
Yaan huwez amin...nkasema dah hawa ma slay queen wa mtandaon..bora madem zetu hawa ambao tunaweza wachkulia poa ila kiukwel wako vzur sanaaa live
Huwa nakutana mara nying na wasanii na bongo muvu viwanja huko..sjui kina vanesa au zuchu au lulu ,amba lulu...etc...live hawako hvyo kama mtandaon...kabisa yan
Kwanza wafup kinoma..af wadogo wadogo..huyo gig sjui ma.tako huwa anayatoa wap insta..live hayuko vile.
Aisee leo imenifanya nimu apreciate sana demu wangu kuwa ni chuma kwel.
Uzi wa kijinga asubuh asubuh...holiday yangu inaisha kesho buana.
Uzi tayar