Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni


Insta unaweza kujiweka hadi shombe shombe na "KOTA" kama lote.
 

Hahahaaa... mkuu umenikumbusha niliwahi kuleta uzi humu kuuliza ni kwanini mastaa wetu wengi ni pipiro (wafupi) sikupata majibu ya msingi.

Kuhusu hili la wadada wa insta, mi narudia ujumbe wangu:

"USITONGOZE MWANAMKE AMBAE HUJAWAHI KUMUONA LIVE"

Utakuja kunishukuru.
 
Kama hawezi ndo aache kutoa kasoro viumbe wa Allah.
Nyie ndo wa kwanza kumtoa kasoro muumbaj kwa kuweka kope fake..nywele fake.kucha fake..rangi ya mwili mnachubua..maziwa fake na ma.tako fake

Mmemkosoa muumba saana..deal na hilo kwanza kabla ya kunisema mim
 
Nyie ndo wa kwanza kumtoa kasoro muumbaj kwa kuweka kope fake..nywele fake.kucha fake..rangi ya mwili mnachubua..maziwa fake na ma.tako fake

Mmemkosoa muumba saana..deal na hilo kwanza kabla ya kunisema mim
Sawa.
 
Mwanaume wa dar nakuona unaimba mipasho kuwasuta wanawake...

Just kidding...usiimbe taarab sio nzuri kwa mwanaume rijali
Taarab ni mziki wa mwambao wa Pwani, sijajua una maanisha nini kuhusu 'urijali',
Kwanini hua mna mitizamo ya kijinga sana?
 
hawa wasanii kwa kweli hujakosea nilimuona dogo janja hugos pale da nilidhani ni kachalii ka njoro huko kamefanna naye. Kumbe ni muhusik mwenyew ni mdogo mpk nikajiuliza Irene Uwoya hkuona aibu kukaa kinyumba naye
Njoro!? Dah umenikumbusha warangi wa Kiteto

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Kwamba picha zao ni Nzuri kuliko wao wenyewe!?

Kwani haujui kuwa Hakuna Muongo kama Snapchat!?
 
Nilikutana na mtangazaji mmoja wa kike pale clouds fm,instagram yake kidogo inambeba,live sasa nilitaka nijifiche chini ya meza.

Kwanini upendeze IG huku ukijua uzuri huo unaojiedit hauna?,si kujishushia tu confidence unapokutana na watu live?
 
Aliyekutana/kumuona live na SHIMI wa 5-selekt East tv
Tunaomba feedback.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…