Wanaume tuwakubali tulio nao; wanawake wanatuibia sana mtandaoni

Nyie ndo wa kwanza kumtoa kasoro muumbaj kwa kuweka kope fake..nywele fake.kucha fake..rangi ya mwili mnachubua..maziwa fake na ma.tako fake

Mmemkosoa muumba saana..deal na hilo kwanza kabla ya kunisema mim
Bwana wee yaani ni balaa tupu. Wanatudanganya sana hawa wanawake.
Nanhuyu alie leta hizi filter kwa kweli kaharibu mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…