Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Whoooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]Last born mwenzako kesho anasafiri, sasa kwavile madingi wanaishi mbali na main road wakati anatakiwa kuondoka alfajiri; basi kanipigia kwamba anakuja kulala home!!!
Nimemwambia ashibe kwao huko huko kwa sababu there's no way naweza kupinda mgongo eti nimpikie yeye dume zima lisiloweza kutengeneza hata tambi!
Hahaha@Saint Anne ni Last Born basi anadeka huyo balaa... sa' nikadhani na wewe ni LB kama yeye!!
K kuna kitu nakifanyia utafiti kikikamilika nitaleta uzi. Kwa namna Fulani mleta uzi Yuko sahihi na upande mwingine hayuko sahihi.Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.
Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.
Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?
Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
[emoji4][emoji4][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Hakuna kitu wanawake wanachoogopa kama namba (za umri)[emoji23][emoji23][emoji23]Umeumizwa tu wewe sasa swala la umri ni kitu chakujadili kweli maana kiumbe kilichozaliwa kuongezeka miaka ni kawaida Sana, wanaume maisha yakiwashinda huko mnakuja huku kukashifu na hyo bado haiwaondolei stress plus depression daily kulia Lia humu kuhusu wanawake, msitufokee na mapungufu yenu tafadhali
Maishaa bongoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Seems like your mindset is still in the Stone Age Era. Let me break it down for you.
Wanawake siku hizi tumeelimika. Tunaenda na kasi ya maisha. Akili zetu zipo kimaendeleo zaidi. Tuna focus kwenye elimu, biashara na ajira ili kujiingizia kipato maisha yaende.
Bado tunapenda na kuheshimu ndoa, lakini Ni muhimu tuingie kwenye ndoa tukiwa na maisha yetu, na hela zetu. Hata tukiingia na kibanda chetu na kiusafiri Kuna tatizo kwani?
Kulewa na kuzaa kupo tu. Tusake maisha kwanza.
Hatuigopi kiumbe chochote kilichozaliwa kuongezeka umri haikwepeki uwe wa kiume au wa kikeHakuna kitu wanawake wanachoogopa kama namba (za umri)[emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli bhana, manake ndo nimejua sasa!!Hahaha
Yeye amebaki humu kwa sababu za comments zangu za majadiliano huko juu.
Hii la u1st born na uziwanda anaishangaa,haijui maana sisi tumetoka nayo kuleee
Punguza jazbaUnahangaika sana
Sijaumizwa na yeyote ila naona tabu wanazo pitia dada zetu pindi umri wao unapikaribia na 30.
Hahahahhh[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukienda ukamwambia nakumega halafu nakuacha atakutukanaa
Wanakuaga na hasira wakiamini wamelogwa ila ukamwambia unamuoa atakupa kila kitu
Unasemaje wewe?!Whoooi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
First born una roho ngumu namna hiyo!???
Embu mpikie mtoto mziwanda jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mpikie mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasemaje wewe?!
Basi bora, manake hawa viumbe ni pasua kichwa! Tangu back in the days niwe na mmoja wao, ambae eti wakati mwingine alikuwa ananuna makusudi na bila sababu eti aone kama nitambembeleza basi hata hamu!!Oky, hapana mimi sio last born
Mada zako hizi, nadhani hata lunch/dinner unaweza kusahau[emoji23][emoji23][emoji23]Hatuigopi kiumbe chochote kilichozaliwa kuongezeka umri haikwepeki uwe wa kiume au wa kike
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Basi bora, manake hawa viumbe ni pasua kichwa! Tangu back in the days niwe na mmoja wao, ambae eti wakati mwingine alikuwa ananuna makusudi na bila sababu eti aone kama nitambembeleza basi hata hamu!!
Sema uzuri wa Saint Anne yeye anadai huwa ananuna huku akitimiza majukumu!
Na mamake huwa anamuitaga hivyo hivyo; utamsikia "...hayo maharage mwekee mtoto, si unajua hapendi samaki!"Mpikie mtoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vipi unaumia kwani?[emoji1787]Punguza jazba
Ukitaka kugombana na mwanamke muulize ana umri gani[emoji23][emoji23]Hatuigopi kiumbe chochote kilichozaliwa kuongezeka umri haikwepeki uwe wa kiume au wa kike