Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Mwanamke yeyote mzuri anaolewa mapema. Labda kama awe na tatizo au shida fulani.
Tunajua kabisa mpaka kufika 27+ si chini ya mahusiano 5 umesha yapitia. Unategemea nini hapo.
Una umari mdogo nahujaona Bado..Unadhani kumaliza Chuo na hiyo pass yako. Basi unajua KILA kitu na unaweza kufanya tathmini yakutosha.

Ila ukweli nikwamba unachokijua Ni kidogo Sana..MUNGU akupe Busara sio kukalili TU nakudhani KILA unachosema Wewe Ni ukweli.

Dumbass
 
Sawa sina hela ila nikimwambia nataka kumuoa atakubali na hela yake nakula. [emoji846][emoji846][emoji846]
Mpaka hapo ushajionesha Wewe Ni mwanaume suruali..huwezi kujitafutia vya kwako..unapenda kitonga... Unataka utongoze huyo bank teller ili akugawie kahela kake...nawe uvimbe kitaaa...

SUBIRIA ukae mtaani miaka 5 ndo utajua kuwa ...sio kila unalopanga linatokea Kama upangavyo....HAPO NDO UTAJUTA.
 
Unaona raha kumuita mtoto wa mwanamke mwenzako shoga.
Sija kutusi kwa lolote wala kukudharau lakini cha ajabu unafurahia.
What comes around goes around. Sikujui na wala sihitaji unijue.
Kizazi si unacho mama basi wacha tuone.
Nimekuuliza shoga maana yake nini hujanijibu
Kizazi nadhani ninacho na kitakuwa kizazi cha baraka katika Jina la Yesu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unatakiwa usake pesa ukiwa na mume wako kwenye ndoa ndo utapendeza, mambo za Lusaka maisha ndo uje uolewe utajikuta unaolewa na yeyote yule ambaye ni mwanaume. Ni ushauri tu siyo sharia.
 
Tu date na wadada kuanzia miaka mingapi sasa make ukidate na wa miaka 19 Jela inakuhusu
Kwasababu wa umri huu bado wanafunzi
 
Nnae mmoja hapa yaan huwa nakereka kuna mda nataman had kumfumua mingumi
 
Sijakimbia ni majukumu tu ya hapa na pale. I am here sema hao wadada waki ishiwa hoja wana anza kutukana and thats shows disrespect.

Sija vuruga chochote kuhusu kusema wanaofanya kazi sijui masuala ya bank taller. Kama umesomea accounts au banking au finance kitengo cha teller lazima uguse kidogo. Kazi za bank zina hitaji kujua mzunguko wa fedha ndani na nnje ya bank unakwendaje. Ili ata siku ukiwa loan officer uelewa error imetokea wapi.

Siwezi kimbia mamba nilo iandaa mwenyewe. We are here to learn.
 
Hahahahahaha....Kaka alimtaja Mama ako alokuzaa na Akili ya kushindwa kupembua mambo Nani...MTOTO HASATA WEWE BORA ANGEKUTUPA CHOONI ..ptuu
Babako na mamako na ukoo wenu mzima.
Mwana haramu wewe baba wa haramu mama haram mtoto haram square.
 
Pia kaa mbali na mwanamke ambae aliolewa kisha akaachana na mmewe, tena awe kwenye 30-45.

Usicheze kabisa na hisia zake, akikupenda amekupenda kweli.

Ndoa ni kitu kingine kabisa kwa hii jinsia aiseee.
Kuna mmoja namuona hapa kwa jirani yangu anavyojing'ang'aniza kwa jamaa. Yaani anakuja anatom..ka alafu jamaa anamfukuza kama mbwa kwa sauti ya juu.

Ila hakomi masikini maana anaweza kaa muda fulani akajileta mwenyewe tena masikini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…