Quetzal
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 6,343
- 10,799
Una umari mdogo nahujaona Bado..Unadhani kumaliza Chuo na hiyo pass yako. Basi unajua KILA kitu na unaweza kufanya tathmini yakutosha.Mwanamke yeyote mzuri anaolewa mapema. Labda kama awe na tatizo au shida fulani.
Tunajua kabisa mpaka kufika 27+ si chini ya mahusiano 5 umesha yapitia. Unategemea nini hapo.
Ila ukweli nikwamba unachokijua Ni kidogo Sana..MUNGU akupe Busara sio kukalili TU nakudhani KILA unachosema Wewe Ni ukweli.
Dumbass