Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Napita kuchukua roll call ili niwasilishe kwa mhasibu iki wajumbe mpate posho ya kikao
 
Hiki kikao chetu pendwa cha wanaume kinakuja kuvurugwa na wadada wa above 27+ sasa hivi!Mark my words
Unahangaika sana

Haya sasa Behaviourist Umewachokoza mwenyewe sasa jiandae 😀😀 Wanaume wenzio tupo tutakusaidia hii vita ila ngoja kwanza upigike weeeee tutakuja kukusaidia baadaeeee!! 😂
 
Ndoa kwa wanawake ni zaidi ya ujio wa yesu
Ila kwa wanaume tunaona ni gundu tu
 
Unatakiwa usake pesa ukiwa na mume wako kwenye ndoa ndo utapendeza, mambo za Lusaka maisha ndo uje uolewe utajikuta unaolewa na yeyote yule ambaye ni mwanaume. Ni ushauri tu siyo sharia.
Aaaah wapiiiiii.

Ili ajifanye ananicontrol ndoto zangu zife kabla ya kuanza?
 
Aaaah wapiiiiii.

Ili ajifanye ananicontrol ndoto zangu zife kabla ya kuanza?
Basi huonavyo wewe ni sawa, fanya mishe zako ila tambua mwanamke bora na aliyekamilika atahitaji kuwa kwenye ndoa. Na huo ndo ukweli
 
Basi huonavyo wewe ni sawa, fanya mishe zako ila tambua mwanamke bora na aliyekamilika atahitaji kuwa kwenye ndoa. Na huo ndo ukweli
Sijakataa ndoa.

Ninachokikataa Ni mwanamke kuishi basing her life on a man. Yaani huwezi fanya chochote with your life because you are basing your prospects on life with a man. Your education goes to waste, you cannot assist your parents because you eat, breathe and live for a man.
 
Ndoa kwa wanawake ni zaidi ya ujio wa yesu
Ila kwa wanaume tunaona ni gundu tu
Mbona mm ni mwanamke na ndoa naiona gundu haswa pale unapopata mwanaume asiyejielewa inageuka kuwa majuto!...nimebahatika kushuhudia wasichana walioingia kwenye ndoa below 25 wakiteseka kila kukicha kisa tu aonekana yupo ndani ya ndoa(unhappily married),inafikia hatua mpk wanatamani kurudisha mda nyuma.Maswala ya ndoa na mapenzi hayatabiriki wala hayana kanuni maalum sio yakukimbilia kisa umri au mtazamo wa jamii.Katika maisha kikubwa ni furaha haijalishi uko nyakati gani.

Najua katika haya nitaeleweka na open minded people tu.
 
Maskini pole sana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona unataka kuwa mchawi wangu....mm atakaye niumiza ataziona rangi zote duniani[emoji28]
Mmh!kumbe Ila sema mimi nikimpata wangu mwandani nikamweka siwezagi kabisa kumuumiza labda yeye ndo aniumize [emoji6]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…