Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Mapovu ni ya kutosha kabisa in here,japokuwa mada ilikuwa clear kabisa kuwa"Wadada wenye 27+ wasichezewe kihisia maana wengi wao wanakuwa desperate na ndoa na washapitia mengi"
Ukianzisha mada kuu moja mtanzania huwa na tabia ya kuanzisha mada ndogo ndogo nyingine [emoji4][emoji23]
 
inakujae upate mwanaume asiyejielewa??kero gani za wanaume ambazo wanawake mnakerwa nazo?
 
Ni kweli kabisa hicho kitu hakifai, ila tatizo wanawake wengi wenye uchumi wao wenyewe huwa ni kiburi kweli kweli kwa hiyo hapo itategemea na mtu mwenyewe ameamua nini cha muhimu kwanza kuanza, ndoa then ajenge life au ajenge life then ndoa.
 
Wewe dada weye sijui utakunywa Bia gani leo au Soda nikununulie Kreti, na KamGuu ka Mbuzi choma eeh na vi-french fries!! Kama itakupendeza!!
🙌🏾🙌🏾🔥🔥 Maana points zako nimezielewa kama Table ya Pili. SAFI sana GREAT MIND.
Hapo Ukitoa mtihani napata 98%
🤠
 
inakujae upate mwanaume asiyejielewa??kero gani za wanaume ambazo wanawake mnakerwa nazo?
Mkuu unakuta mwanaume kaoa binti mbichi kabisa,hana mambo mengi kabisaa!ila akishaanza kumzalisha tu ataanza kumuona hana jipya tena,hamjali wala kumtunza na hapo anataka huyo mwanamke asifanye kazi ya kujiingizia kipato hata cha kujitunza kidogo eti kisa atakuwa jeuri.Mwanamke ule uzuri wa muonekano wote unaondoka kwa manyanyaso ya kihisia,Mwanaume anafanya chochote kibaya anacho jisikia akijua bibie hana pakwenda na vile wanawake wengi huwa wanavumilia kwaajili ya watoto basi anaishia kugumia tu ili mradi siku ziende.Ubaya wanaume wengi wakimpata mwanamke mtulivu na anayewapenda kwa dhati huwa wanamuona km mjinga.

Nimeshudia hata kwa ndugu zangu wa kiume,ni wachache sana wanajua kuthamini walichonacho.Yan mwanaume anaenda kumpendezesha kahaba na kumuacha mkewe aliyemkuta mbichi kabisa achakae kwa mawazo na majuto.

Kwa mimi huwa inaniumiza sana hata kama hayajanikuta ila hii hali inakatisha tamaa.Huwa nanaki najiuliza..."Sasa neema ya kuolewa kwa huyu dada maskini ni ipi?"
 
Asante mkuu[emoji4]
 
Mapovu ni ya kutosha kabisa in here,japokuwa mada ilikuwa clear kabisa kuwa"Wadada wenye 27+ wasichezewe kihisia maana wengi wao wanakuwa desperate na ndoa na washapitia mengi"
Imeletwa kichochezi kama huamini soma comments za mtoa mada na wenzie
 
Aiseee Ni kweli Umenigusa Sana
 
Nikifikiria hayo hamu ya kuolewa huwa inapotea
Ukishampenda sana mwanaume anakuona mjinga
 
Umeongea point na ukweli ni kwamba kwa Scenario kama hiyo haikubaliki huo ni unyanyasaji tu
 
Angalau wewe umejibu kwa hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…