Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

hiyo ipo hata kwa wanawake pia wazoefu wa mapenzi wanasema kuwa mwanaume akimpenda mwanamke basi mwanamke anamuona huyo mwanaume ni fala
 
Mada haizungumzii utegemezi wa kipato kwa mwanamke.
Mtoa mada katuasa wanaume kwamba, "MWANAUME USIMUUMIZE KIMAPENZI BINTI MWENYE UMRI WA 27+ IKIWA KAMA MWANAUME UNAJIONA HAUPO TAYARI KUANZISHA NAYE MAHUSIANO YENYE LENGO LA NDOA (na familia).
Mtoa mada amesisitiza kwamba MABINTI WENGI KATIKA UMRI HUO SIO WA KUWACHEZEA, MAANA BINTI WENGI WA 27+ HAWAPENDI KUPOTEZA MUDA KWENYE RELATIONSHIP ISIYO NA COMMITMENT."
Saint Anne , cariha , Karucee , Mother Confessor
 
Nasapoti point yako hapo. ila naongezea tu hii kuwa hata Wanawake wengi wakimpata mwaume mtulivu na anayewapenda kwa dhati huwa wanamuona kama mjinga 🙋🏽‍♂️😉
 
Hakuna binti anayependa kupoteza muda iwe ana 23 au 30.
Umesoma comments zake?
 
Ni kweli kabisa hicho kitu hakifai, ila tatizo wanawake wengi wenye uchumi wao wenyewe huwa ni kiburi kweli kweli kwa hiyo hapo itategemea na mtu mwenyewe ameamua nini cha muhimu kwanza kuanza, ndoa then ajenge life au ajenge life then ndoa.
Sio kiburi. Ni nyie mnakuwa na inferiority complex kuwa na mwanamke ambae anajitegemea kabla ya kuingia kwenye ndoa.


If a man maintains his status quo as a man, no woman can take his position.
 
Basi huonavyo wewe ni sawa, fanya mishe zako ila tambua mwanamke bora na aliyekamilika atahitaji kuwa kwenye ndoa. Na huo ndo ukweli
Nasema ninachokiishi. I am a living testimony.

I am well educated and am married too with two kids.

Nisichokitaka Ni Hawa mabinti waweke ndoto zao pembeni kisa wanakimbilia ndoa na hivyo kuishia kuwa tegemezi na hatimae kunyanyasika sababu hawana A Wala B.
 
Unatakiwa usake pesa ukiwa na mume wako kwenye ndoa ndo utapendeza, mambo za Lusaka maisha ndo uje uolewe utajikuta unaolewa na yeyote yule ambaye ni mwanaume. Ni ushauri tu siyo sharia.
Oh really?

Hapana aisee. Some men are very controlling. Wanaona ukishika hela utasepa. Bora anikute na maisha yangu yeye aji adjust anavyojua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…