Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Hajitambui

Yeye mbona ameshindwa kuandika hiyo anayoita English cheap?[emoji1787]
Watu wana stress sana
Yani kahangaika povu wewe sasa personal matter za nini humu, lengo ni change id aisee pole yake I'm here to stay kwa kweli yeye mwenyewe maneno machache kashindwa andika
 
Yani kahangaika povu wewe sasa personal matter za nini humu, lengo ni change id aisee pole yake I'm here to stay kwa kweli yeye mwenyewe maneno machache kashindwa andika
Mshamba tu
Abishane kwa hoja

Mimi nikategemea ataandika hiyo English nzuri baada ya kuikosoa yako.
Ngoja labda atakuja kuandika ili tuone na yake[emoji1787]
 
Asante mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…