Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ukute Hana hela ya kula Leo kakimbilia JF kuanzisha mada
Anataka tu tuchangie ili thread yake ijae comment naye aonekane mwamba[emoji1787]
 
You are contradicting yourself.

Na pia there is some malice in your tone.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hivi kweli unarudia kusema bank teller ni wanawake wa kishua.

Ushua umeshuka hadhi saana. Hata hapa Vingunguti hatuna watoto wa kishua ila hatujafikia kuwaita tellers wa kishua.
Fresh from chuo kuja kufanya kazi bank una anzia wapi kama sio teller then later una hama vitengo.
 
Yaani mtoa mada unasema.

Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.

Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
 
Hiki ndicho unachoandika kama hauelewi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…