Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Umeona Sasa usivyo na akili.
Umeanza kuleta mada ya bank ndani ya mada nyingine.
Na hii yote ni kujaza tu Uzi wako
kijana tafuta hela
You look desperate my sister
This plaform is here to exchange ideas. No wonder unakuja na mitusi mara huja soma mara nitafute hela. Ofcourse natafuta sisha choka na kuajiriwa.
Wacha nitafute hela we tafuta umri wako
 
Nime washangaa kwa lipi
Lets stick to the point.
Dating women age 27+ ndo mada yetu
Mwenyewe ukasema tustick kwenye point na wakati ulianzisha mwenyewe mada ya ubank teller
Ukaja tena kuchambua vyeo vya wafanyakazi wa bank na huku pale juu umesema tustick kwenye point
You look desperate my sister
This plaform is here to exchange ideas. No wonder unakuja na mitusi mara huja soma mara nitafute hela. Ofcourse natafuta sisha choka na kuajiriwa.
Wacha nitafute hela we tafuta umri wako
Nimekujibu lakini bado umekuja na ramli zako chonganishi.
Inaonyesha huelewi hata unachokijadili.

Bora umekubali kwamba unaenda kutafuta hela,
Sijasema hujasoma nimesema inaonyesha bado hujajua kusoma vizuri
Uwe unasoma vizuri kabla hujadandia kunijibu .

Mimi sipambani na umri wangu pole sana[emoji1787]
Uliye na stress ni wewe unayekuja kujadili watu.
 
Nitaachaje wakati ndionraha ya dunia jamani
Sawa
Endelea na ongeza bidiii
Mwana wa Adamu yu karibu,Anasema aja upesi kumlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.

Kabla hajaja ngoja kwanza dunia itakulipa
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha kashafika.....
 
Sawa
Endelea na ongeza bidiii
Mwana wa Adamu yu karibu,Anasema aja upesi kumlipa kila mtu sawasawa na matendo yake.

Kabla hajaja ngoja kwanza dunia itakulipa

Ok...basi ngoja nizidishe bidii ya kugegeda ili nife kabla huyo mwana wa adamu hajaja niwe nilishatulia zangu six feet under
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…