Dollar hermees
JF-Expert Member
- Sep 14, 2013
- 517
- 1,045
- Thread starter
- #101
Nyie pondeni tu ila huo ndo ukweli.Huyu wakumpuuza anataka umaarufu na nada yake ushubwada mtupu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie pondeni tu ila huo ndo ukweli.Huyu wakumpuuza anataka umaarufu na nada yake ushubwada mtupu
eheee twazidi kujaMama sisi wanaume leo tuna jambo letu hapa!
Kwanza inaonyesha hana hela huyu dogo maana hapo juu anawashangaa mabank teller.[emoji23][emoji23]
Sija maanisha hivo umesoma post yangu yote vizuri.Yaani mtoa mada unasema.
Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.
Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
Kwanza itakuwa moyo umemdunda kuona comment yako hapa cariha maana hakutegemea[emoji23]Huyu wakumpuuza anataka umaarufu na nada yake ushubwada mtupu
Mimi ningemtandika haswaa
Mwanaume gani anakuwa na tabia za kidada namna hii
Kwani bank teller ana tatizo gani mbona me sina tatizo na hao. Mbona bank nyengine bank teller msharahara wake ni zaidi ya 600kKwanza inaonyesha hana hela huyu dogo maana hapo juu anawashangaa mabank teller.
Ukiona mtu yupo anashangaa watu badala akafanye kazi ujue hakuna kitu.
Mbaya zaidi hakuna uwongo niliosemaNaona wadada wakisikia hoja hiz wana panick
Basi kaedit mkuu maana umemaanisha nilichokiandika hapo juu.Sija maanisha hivo umesoma post yangu yote vizuri.
Sio tu wakishua nimesema pia hata wewe mwanaume ukiwa na uwezo fulani wa kimaisha na ukadate na msichana wa maisha ya kawaida lakini yupo 27+ kuwa makini. Sijasema wakishua peke yake japo mada hii tumewazungumzia wakishua sana.
Stress zipi sio poa??Stress sio poa, kama huyo Cariha nina uhakika umri umeendaaa sana halafu namba hazisomi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Inaonekana angekuwa karibu mngemzaba vibao [emoji23][emoji23]
Tuombe Radhi wenye shule ndogo kwanza Bibie...Hawana mbele Wala nyuma wanaume design hata shule yao ni ndogo so it's obvious uelewa mdogo
No kila kitu kipo sawa toka mwanzo nimeanza kwa kugeneralize wanawake wote then nikaongelea wa kishua alafu nikasema wa familia za kawaida.Basi kaedit mkuu maana umemaanisha nilichokiandika hapo juu.
Mimi kabla sijachangia hoja ya uzi kwanza huwa naanza na phrasing. Ukishakosea kwenye phrasing hakuna haja ya kuendelea kwenye hoja.
Mwanaume kuwa na tabia za kidada anakuwa shoga.Kwani tabia za kidada zina tatizo gani?? Kwani wadada sio watu??
Naomba radhi