Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Yaani mtoa mada unasema.

Tukiwachukua wanawake wote ambao hawajaolewa wenye umri wa miaka 27+ basi wengi wao watakuwa watoto wa kishua.

Hivi ndivyo unavyoandika mkuu.
Sija maanisha hivo umesoma post yangu yote vizuri.
Sio tu wakishua nimesema pia hata wewe mwanaume ukiwa na uwezo fulani wa kimaisha na ukadate na msichana wa maisha ya kawaida lakini yupo 27+ kuwa makini. Sijasema wakishua peke yake japo mada hii tumewazungumzia wakishua sana.
 
Huyu wakumpuuza anataka umaarufu na nada yake ushubwada mtupu
Kwanza itakuwa moyo umemdunda kuona comment yako hapa cariha maana hakutegemea[emoji23]
Yaani atajiona bonge la mtu huko[emoji1787]
Sometimes huwa wanatamani kuongea na watu fulani ila wanashindwa wataanzia wapi
 
Kwanza inaonyesha hana hela huyu dogo maana hapo juu anawashangaa mabank teller.
Ukiona mtu yupo anashangaa watu badala akafanye kazi ujue hakuna kitu.
Kwani bank teller ana tatizo gani mbona me sina tatizo na hao. Mbona bank nyengine bank teller msharahara wake ni zaidi ya 600k
 
Sija maanisha hivo umesoma post yangu yote vizuri.
Sio tu wakishua nimesema pia hata wewe mwanaume ukiwa na uwezo fulani wa kimaisha na ukadate na msichana wa maisha ya kawaida lakini yupo 27+ kuwa makini. Sijasema wakishua peke yake japo mada hii tumewazungumzia wakishua sana.
Basi kaedit mkuu maana umemaanisha nilichokiandika hapo juu.

Mimi kabla sijachangia hoja ya uzi kwanza huwa naanza na phrasing. Ukishakosea kwenye phrasing hakuna haja ya kuendelea kwenye hoja.
 
Kuna Hawa single 27+ wanajielewa na ni independent women, Ndoa si tatizo kwao. Wamejenga, wana kazi za maana tu na usafiri. Sioni kama kutokuolewa kwao ni stress. Wana heshimika pia... Nadhani inategemeana na aina ya jamii inayokuzunguka.
 
Basi kaedit mkuu maana umemaanisha nilichokiandika hapo juu.

Mimi kabla sijachangia hoja ya uzi kwanza huwa naanza na phrasing. Ukishakosea kwenye phrasing hakuna haja ya kuendelea kwenye hoja.
No kila kitu kipo sawa toka mwanzo nimeanza kwa kugeneralize wanawake wote then nikaongelea wa kishua alafu nikasema wa familia za kawaida.
 
Kwani tabia za kidada zina tatizo gani?? Kwani wadada sio watu??
Mwanaume kuwa na tabia za kidada anakuwa shoga.

Tabia za kidada hazina tatizo na ni kwa ajili ya wadada na si wakaka.
Wapi nimesema wadada sio watu?
Wasingekuwa watu basi nadhani hata mimi nisingekuwa mtu maana hata mimi ni dada.

Uwe unaelewa kwanza comment kabla hujaidandia na kureply
 
Back
Top Bottom