Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

[emoji23][emoji23]Cariha wachana nao hawa, umri nini bwana. Kila mtu aishi atakavyo, si ndio? Mimi nimesema 28+ ndio ugonjwa wangu, bahati mbaya hujafika huko, ningeshawahi piemuni mwako nitete na wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
My kaka naelekea kwenye uhenga aka uveterani huko loh ama kweli siku hazigandi
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Kudadeki cariha katka ubora wako. Umekuja na nongwa zako, natamani siku nikuone ukoje
 
Back
Top Bottom