Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Mkuu CHARMILTON naona kuna kitu huenda unakimiss hapa,

au labda uko kwenye umri ambao huishi uhalisia wa Maisha,unaishi kulingana na namna wewe unavyoyaimagine Maisha,

kuna utofauti mkuwa sana kati ya Maisha tunayojiaminisha tunaishi na uhalisia wa Maisha hali hapa ulimwenguni,

mkuu unapaswa kujua kwenye ukuzi wa mtu kuna stage nyingi sana anapitia,na ni stage hizo hizo zinazomfanya mtu eiza aje ajutie hapo baadae au ashukuru kwa stage aliyopitia na maamuzi aliyoyafanya akiwa stage hiyo,

kuna stage ambayo vijana tulio wengi huwa tunaishi Maisha ya kufikrika,yaani tuko kwa ajili ya kusatisfy our own desire na tunaishi kwenye ulimwengu ambao tumeuumba sisi vichwani mwetu,stage hii ikitumika vibaya au kwa muda mrefu sana huweza kutokeza majuto makubwa sana huko mbeleni tuendako,ila tukistuka kwenye stage hii mapema na kurekebisha mambo na kuanza kuishi kwenye ulimwengu halisi na sio ule wa kufikrika tunaweza kusave majuto mengi sana baadae huko tuendako, (laiti vijana wote tungekuwa tunastuka mapema sana kwenye hii stage na kurekebisha mambo,dunia ingekuwa mahalia salama sana pa kuishi,too bad tulio wengi hii stage huwa inatuvuruga sana,kuja kustuka its too late hata marekebisoa hayawezekani kabisa,kama yanawezekana ni kidogo sana and its a waste)

Lakini pia ndoa ni Zaidi ya yale uliyoyasema huko juu mkuu,asikwambie mtu mkuu ulimwenguni hapa hakuna kinachoweza kulinganishwa na familia nzuri yenye furaha,narudia tena hakuna,wale walio na ndoa zao na familia zao mubashara wanaweza kuwa mashahidi wa hili

aina ya Maisha uliyochagua kuishi kwa kujiaminisha kwamba inakupa uhuru na ndio unaoutaka haiwezi kukupa hiyo satisfication ambayo wenye ndoa au familia nzuri wanayo

Hope some days utaiona ndoa katika angle tofauti kabisa na angel unayoiona kwa sasa Mkuu, All the best.
Kila mtu ana interests zake kwenye haya maisha.
Unachokiona wewe kuwa cha muhimu hakiwezi kuwa vilevile kwa mwingine.

Mimi kudili na mambo niliyoyachagua haimaniishi kwamba hayana faida.

Hivi kwanini umeelezea ndoa kwa upande mmoja tu? Binafsi natambua umuhimu wa ndoa ni kwa faida ya malezi ya watoto basi! Hayo mengine ni maigizo.....ukianza kuorodhesha changamoto za ndoa utamaliza leo?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nawaangalia tu jinsi wanavyohangaika na kujipa moyo[emoji14]

Akhsante sana kaka,nigroup tu kwenye watoto wako[emoji23]
Malezi yangu utayaweza lakini? Maana wanangu ni geti kali, muulize Heaven sent na Zoë. You're officially my third born.
 
Malezi yangu utayaweza lakini? Maana wanangu ni geti kali, muulize Heaven sent na Zoë. You're officially my third born.
Yaani huko Sasa kutanifaa sana.
Huku uswahilini bahati mbaya tu[emoji1787]

Napenda kukaa ndani mimi hadi hapa nyumbani walishaanza kunisimanga kuwa sitoki hata uwanjani kuotea jua.
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
Kwani wewe una umri gani mpenzi?
 
Kila mtu ana interests zake kwenye haya maisha.
Unachokiona wewe kuwa cha muhimu hakiwezi kuwa vilevile kwa mwingine.

Mimi kudili na mambo niliyoyachagua haimaniishi kwamba hayana faida.

Hivi kwanini umeelezea ndoa kwa upande mmoja tu? Binafsi natambua umuhimu wa ndoa ni kwa faida ya malezi ya watoto basi! Hayo mengine ni maigizo.....ukianza kuorodhesha changamoto za ndoa utamaliza leo?
Okay sawa Mkuu
 
Sio povu lazima tuwaambie ukweli mzibuke akili zenu kichwani, ujue wanaume wasio na mbele na nyuma ndio huhangaika na wanawake ili wajifariji mioyoni mwao badala ya kutafta maisha.
Kuna dada ni blog maarufu na nigeria ana hela zawadi kajipa range rover chakushangaza wanaume wasio na mbele Wala nyuma hata bicycle hawana wakawa Wana mshambulia na kumtusi. So kwa Africa wanaume wamepoteza uanaume wao asilimia zote
Hyo wa nigeria sio dada ni dume kama wewe sema kahamia upande wa Ke, chunga sana na Epuka.

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Wewe una matatizo ya kisaikolojia Yani umri wa wanawake ukuumize, naona umeumizwa na huyo dada Sasa kuja kupoza machungu ukaamua uanzishe Uzi ili kujipa matumaini hewa ya kupata faraja, nasema tena pole Sana kwa kuumizwa huko umri wa binadamu lazima uongezeke tu bila kujali jinsia so hoja yako haina mashiko
mbona povu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].jiwe gizani naona unapiga kelele.mtoa mada kasema kama huna mpango wa kuoa usidate na binti mwenye 27+.kwa mfano unadate nae kwa miaka 4 then unamuacha hapo utakuwa umempotezea muda.mtoa maada katoa ushauri kuwa wanaume wasiwaumize wanawake wewe unalalamika [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom