Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Wanaume tuwe makini kudate na wadada wa kuanzia 27+

Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.

Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.

Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa mtazamo wake.. ila mm ninachokijua ni kwamba wadada wengi wana date na wazee au watu walio wazidi umri na wenyefamilia zao hvy wanakuwa michepuko, kwa madai jamaa wanafunguka pesa... sasa akija kushtuka ana 27+. Ndio anakumbuka kuwa umri ameenda anatakiwa kutengeneza familia, akirudi kwa vijana wanaonja na kusepa.. ss anakuwa anajitahidi ili awe na mtu wa kuishi nae..
 
Ungekuwa mzuri wewe dada[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani umefungua I'd mpya juzi ili uendeleze libeneke, humu, nitafurahi mods akiunga hizi I'd maana unajidaganya Sana.Tumia hizi I'd in positive way
Screenshot_20201001-092401_1601533587756.jpg
 
Spana gani umepiga?
Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!

Yaani umechagua upande pinzani na kuwa mpinzani wangu directly az if we have a history, una issue gani na mimi labda nikuulize?!
 
Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!

Yaani umechagua upande pinzani na kuwa mpinzani wangu directly az if we have a history, una issue gani na mimi labda nikuulize?!
Inaonyesha huna kumbukumbu Nzuri eeeh??
Kwani Mimi nimekutuma uniquote?
 
Hakuna wanawake watamu kama 27+ yan hana kwere za hawa watoto wadogo, vina piga simu kama chiriku.. Yan upo ofisini simu unarud hom simu, yan kila saa simu na msg za bure, nishaviblock vingi sana.

WANAWAKE ON THEIR LATE TWENTIES WANAKUAGA VERY MATURE MKUU, Desperation ya marriage ni mtu binafsi. Kuna wanawake wana ndoto kubwa sana kiasi kwamba akikwambia utabaki mdomo wazi so kwao mambo ya kuoana na marriage ni sio ishue sana..

Wahuni utawajua tu[emoji3]
 
Kwani kakuambia yupo hapa kutafuta wanaume??
Wewe kama ulijiunga ili kutafuta basi usidhani kila mtu yupo kutafuta humu.

Atoke kwani jf ni ya kwako hii?
Kwa mamlaka gani uliyonayo ya kumfanya atoke?
My dear hebu na wewe mhoji tu.
 
Sema Nyie kwa Mlipofikia Mkiwa Wapenzi itakua Bomba Sana [emoji16][emoji16]

Kakaa Samcezar chukua Mtoto huyoo
Me Naona kakuelewa ujue [emoji16][emoji16]




NB, #SijafataMatusi[emoji2][emoji23]
 
Speaking from your experience maybe..... Cause nikikutazama sioni clear picha ya utotoni mwako.......

Ulikuwa ukilelewa na wazazi wawili kweli?!

My bet is ulipitia childhood abuse..... Molestation maybe.... Cause u are so poisoned.
Tangu juzi hauchoki? Hauna kazi za kufanya? Hauna hata mchumba?

Ila acha nikupe sifa zako mkuu. Unajua kusutana hatari, unachambana wakina mwajuma ndala ndefu wakasome. Yaani wewe ni kiboko wa kusuta, hongera kwa kuwakilisha wavulana wenzako vizuri. Ayaa endelea kusutana bado kidogo utamshinda cariha .
Ukitaka dera na ngoma nishtue, ili umchambe vizuri.
 
Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!

Yaani umechagua upande pinzani na kuwa mpinzani wangu directly az if we have a history, una issue gani na mimi labda nikuulize?!
Msute na yeye, naona hajasoma comments zako vizuri akajua uwezo wako wa kuchambana upoje.
👌👌👌👌
 
Duh!the thread is gaining momentum what I see is Ladies vs Gentlemen ni full michambo dah!
Nobody comments upon the thread's aim
 
My dear hebu na wewe mhoji tu.
Nashangaa anakwambia utoke[emoji1787][emoji1787]
Hi nchi vichaa hawataisha wallah

Hata Melo mwenyewe hajawahi kufukuza watu humu,
Mtu amekaa milimani uporoto huko anataka afukuze watu jf[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Duh!the thread is gaining momentum what I see is Ladies vs Gentlemen ni full michambo dah!
Nobody comments upon the thread's aim
Kabla hujaendelea dogo
Acha kulinganisha Gentlemen na vitu vya ajabu
 
Back
Top Bottom