cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,549
Kwahyo umekuja na I'd nyingine mbona ubunifu zeroUngekuwa mzuri wewe dada[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahyo umekuja na I'd nyingine mbona ubunifu zeroUngekuwa mzuri wewe dada[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa mtazamo wake.. ila mm ninachokijua ni kwamba wadada wengi wana date na wazee au watu walio wazidi umri na wenyefamilia zao hvy wanakuwa michepuko, kwa madai jamaa wanafunguka pesa... sasa akija kushtuka ana 27+. Ndio anakumbuka kuwa umri ameenda anatakiwa kutengeneza familia, akirudi kwa vijana wanaonja na kusepa.. ss anakuwa anajitahidi ili awe na mtu wa kuishi nae..Sijui kwanini sikuhizi nikisoma nyuzi humu naona kabisa nadanganywa na natofautiana nazo.
Kuna mawili labda nyie wenzangu mnazidi kuwa wajinga au mimi ndiye nazidi kuwa mjinga.
Yaani kweli wanawake 27+ ambao hawajaolewa wengi wao wao ni watoto wa kishua???
Yani umefungua I'd mpya juzi ili uendeleze libeneke, humu, nitafurahi mods akiunga hizi I'd maana unajidaganya Sana.Tumia hizi I'd in positive wayUngekuwa mzuri wewe dada[emoji23][emoji23][emoji23]
Spana gani umepiga?Tulia wewe.... Ushaambiwa nimepiga spana nzito, wewe shida yako ipo wapi?!
Kwani kakuambia yupo hapa kutafuta wanaume??Toka sasa unafata nini?!
Kuna watu ni wajinga sana wallah[emoji1787]Yani umefungua I'd mpya juzi ili uendeleze libeneke, humu, nitafurahi mods akiunga hizi I'd maana unajidaganya Sana.Tumia hizi I'd in positive wayView attachment 1586516
Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!Spana gani umepiga?
Mbona unapost vitu personal vya watu.....Yani umefungua I'd mpya juzi ili uendeleze libeneke, humu, nitafurahi mods akiunga hizi I'd maana unajidaganya Sana.Tumia hizi I'd in positive wayView attachment 1586516
Inaonyesha huna kumbukumbu Nzuri eeeh??Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!
Yaani umechagua upande pinzani na kuwa mpinzani wangu directly az if we have a history, una issue gani na mimi labda nikuulize?!
Hakuna wanawake watamu kama 27+ yan hana kwere za hawa watoto wadogo, vina piga simu kama chiriku.. Yan upo ofisini simu unarud hom simu, yan kila saa simu na msg za bure, nishaviblock vingi sana.
WANAWAKE ON THEIR LATE TWENTIES WANAKUAGA VERY MATURE MKUU, Desperation ya marriage ni mtu binafsi. Kuna wanawake wana ndoto kubwa sana kiasi kwamba akikwambia utabaki mdomo wazi so kwao mambo ya kuoana na marriage ni sio ishue sana..
My dear hebu na wewe mhoji tu.Kwani kakuambia yupo hapa kutafuta wanaume??
Wewe kama ulijiunga ili kutafuta basi usidhani kila mtu yupo kutafuta humu.
Atoke kwani jf ni ya kwako hii?
Kwa mamlaka gani uliyonayo ya kumfanya atoke?
Nimewaweka ignore list tu kwa kweli Kuna watu wanashangaza Sana, sasa hivi sijui atamtolea Nani povu wallahKuna watu ni wajinga sana wallah[emoji1787]
Tangu juzi hauchoki? Hauna kazi za kufanya? Hauna hata mchumba?Speaking from your experience maybe..... Cause nikikutazama sioni clear picha ya utotoni mwako.......
Ulikuwa ukilelewa na wazazi wawili kweli?!
My bet is ulipitia childhood abuse..... Molestation maybe.... Cause u are so poisoned.
Msute na yeye, naona hajasoma comments zako vizuri akajua uwezo wako wa kuchambana upoje.Nisome comments zangu tokea mwanzo. Anyway lakini mbona kama unatafuta kuwa personal na mimi?!
Yaani umechagua upande pinzani na kuwa mpinzani wangu directly az if we have a history, una issue gani na mimi labda nikuulize?!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimewaweka ignore list tu kwa kweli Kuna watu wanashangaza Sana, sasa hivi sijui atamtolea Nani povu wallah
Nashangaa anakwambia utoke[emoji1787][emoji1787]My dear hebu na wewe mhoji tu.
I don't need negative energy kwa kweli, wakapumxike huko salama salimini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kabla hujaendelea dogoDuh!the thread is gaining momentum what I see is Ladies vs Gentlemen ni full michambo dah!
Nobody comments upon the thread's aim