The Conscious
JF-Expert Member
- Mar 18, 2021
- 740
- 1,218
Habari wanandugu wa JF,
Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu.
Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume anasema mimba imeingia bahati mbaya tu mimi nilikuwa sikupendi sasa hii siyo tabia nzuri. Wanawake wamekuwa wakitelekezwa kwa wazazi wao na kuhangaika.
Basi wanaume tujitahidi kutongoza wanawake wazuri tunaowapenda hata ukimpachika mimba na ulikuwa hautarajii uwe unaona raha tu na kuihudumia mimba hata kama hauna uwezo wa kumchukua mwanamke huyo kwa muda huo.