Ila men can fake it bwana. Yaani anakuonyesha upendo wa dhati kupindukia kiasi mwanamke unajiona uko mikono salama lolote likitokea. Upepo unavyovadilika hutaamini na macho yako.
Anyways mega love to all the single mothers out there. Nawapenda sana. Munajipenda na mnajitunza. Na watoto wenu wasafii, wazurii wanasoma vizuri.
Mungu awatangulie sana na awape ujasiri katika majukumu yenu ya malezi. Hawa wanaowatelekeza huwa Mungu anajua kudeal nao vizuri tuu wapenz wangu.
Sipendi sana jinsi wanavyowasimanga. Naumia kama vile ni mimi. Funny enough watu wanao dada, mama, shangazi zao etc walitelekezwa miaka na miaka.