Ocran
JF-Expert Member
- Jun 29, 2017
- 1,045
- 1,365
pia ni utambuzi binafsi kwa mtu mwenyewe, nna 28yrs now lakini kipindi chote nikikutana na mwanamke nakua makini sana kuepuka kumpa mimba sababu naona bado sijafikia wakati kulingana na mipango yangu, mpaka sasa sina ata wakusingiziwa. Anae mpa mimba na anaepewa mimba wote wazembe sababu kuna wanawake nilishakutana nao haulizii condon wala ni namna gani tunaweza jikinga na mimba kwaiyo 90% huwa najiongeza mwenyewe tu.