Unaposema sie unakuwa wew na nani?Haswa tena kwenye single mothers hapo Unakuta wengi hatupend kuwaoa ilhal sie ndy wasababishaj ni bora kumuach msichan akampata mtu mwngne ambae huenda akamuoa na kuenjoy maixh na cyo kump mimb na kulet visingzio
It sucks dear. Wawaache jao wamama waendelee na maisha yaoUmeandika kwa Hisia sana Dear[emoji8]
Nikweli kabisa Dear wawaache namaisha yao .It sucks dear. Wawaache jao wamama waendelee na maisha yao
Mimi niko poa kabisa dearNikweli kabisa Dear wawaache namaisha yao .
Vipi uko poa ?
Mna kamsemo kenu..wengi wanasema pale nilitaka kupita tu!Habar wanandugu wa JF,
Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu.
Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume anasema mimba imeingia bahati mbaya tu mimi nilikuwa sikupendi sasa hii siyo tabia nzuri. Wanawake wamekuwa wakitelekezwa kwa wazazi wao na i kuhangaika.
Basi wanaume tujitahidi kutongoza wanawake wazuri tunaowapenda hata ukimpachika mimba na ulikuwa hautarajii uwe unaona raha tu na kuihudumia mimba hata kama hauna uwezo wa kumchukua mwanamke huyo kwa muda huo.
Mkishapata nyege mnakua kama panya tu, kitobo chochote kile mnaingia...
Tumeshaacha ku fake bana sikuhizi tupo so for realIla men can fake it bwana. Yaani anakuonyesha upendo wa dhati kupindukia kiasi mwanamke unajiona uko mikono salama lolote likitokea. Upepo unavyovadilika hutaamini na macho yako.
Anyways mega love to all the single mothers out there. Nawapenda sana. Munajipenda na mnajitunza. Na watoto wenu wasafii, wazurii wanasoma vizuri.
Mungu awatangulie sana na awape ujasiri katika majukumu yenu ya malezi. Hawa wanaowatelekeza huwa Mungu anajua kudeal nao vizuri tuu wapenz wangu.
Sipendi sana jinsi wanavyowasimanga. Naumia kama vile ni mimi. Funny enough watu wanao dada, mama, shangazi zao etc walitelekezwa miaka na miaka.
Sasa mbona unawagawia wana ramani?Mwanamke unayempenda huwezi kumpata mzee πππ! Hata ukimpata hakupendi kwa dhati atakutesa tu.
Ni sawa mie sahii kuna kadem nakapenda kanaitwa i_am_just_rakel huko mitandaoni! Ila kukapata nikape mimba ni mtihani. ila kametulia sana yani kana vitu vyote mjuba navyopenda.
Hawatakaweza kanaonekana kana sifa flani ambazo hawezi ku date na mbuzi mbuzi πππSasa mbona unawagawia wana ramani?
Ila mbuzi wanatofautiana, kuna mbuzi wa kufugwa na mbuzi wanaoranda randa kama wale wa kule tegeta nkHawatakaweza kanaonekana kana sifa flani ambazo hawezi ku date na mbuzi mbuzi πππ
Punguza sauti cow girlMkishapata nyege mnakua kama panya tu, kitobo chochote kile mnaingia...
Sawasawa Dear, nimeku PMMimi niko poa kabisa dear
ππMkishapata nyege mnakua kama panya tu, kitobo chochote kile mnaingia...
Oooh pole jamani nimekupigia kelele...Punguza sauti cow girl