Wow. Ni kwasababu umekua matured. Thats well. Hoping others too shall follow the lead mtaniTumeshaacha ku fake bana sikuhizi tupo so for real
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] no wayMwanamke unayempenda huwezi kumpata mzee [emoji23][emoji23][emoji23]! Hata ukimpata hakupendi kwa dhati atakutesa tu.
Ni sawa mie sahii kuna kadem nakapenda kanaitwa i_am_just_rakel huko mitandaoni! Ila kukapata nikape mimba ni mtihani. ila kametulia sana yani kana vitu vyote mjuba navyopenda.
Khee. HayaSawasawa Dear, nimeku PM
Basi msituseme sanaYaani na wanashangaza mnooo
Kwahio we jamaa unaowapenda wote wanakupenda 😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] no way
Mimi siwezi kuingiza mimba kwa mwanamke nisiyempenda aise. Kwanini nisimwagie njeHabar wanandugu wa JF,
Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content
Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu.
Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume anasema mimba imeingia bahati mbaya tu mimi nilikuwa sikupendi sasa hii siyo tabia nzuri. Wanawake wamekuwa wakitelekezwa kwa wazazi wao na i kuhangaika.
Basi wanaume tujitahidi kutongoza wanawake wazuri tunaowapenda hata ukimpachika mimba na ulikuwa hautarajii uwe unaona raha tu na kuihudumia mimba hata kama hauna uwezo wa kumchukua mwanamke huyo kwa muda huo.
Mimi niache bana[emoji23][emoji23].. its complicatedKwahio we jamaa unaowapenda wote wanakupenda [emoji23]
Mwanamke unayempenda huwezi kumpata mzee [emoji23][emoji23][emoji23]! Hata ukimpata hakupendi kwa dhati atakutesa tu.
Ni sawa mie sahii kuna kadem nakapenda kanaitwa i_am_just_rakel huko mitandaoni! Ila kukapata nikape mimba ni mtihani. ila kametulia sana yani kana vitu vyote mjuba navyopenda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkishapata nyege mnakua kama panya tu, kitobo chochote kile mnaingia...
WoiiiiiiiiihNani asietaka utamu?!
Mi yule namuoa kabisa 😂 si nampenda mkuu!Unampenda Au unataka kuongeza single mama mwingine
Ni mzuri kweli but mtakuwa wengi hapo mnamfukuzia
Mi yule namuoa kabisa [emoji23] si nampenda mkuu!