Wanaume!!! Usahaulifu wenu unatuumiza....

Kwenye suala la kusahau watusamehe tu. Siku yangu ya kuzaliwa Mimi mwenyewe huwa naisahau mara nyingi huwa zinapita siku 4 au 5 ndiyo naikumbuka.. aaah! Kumbe nimetimiza umri fulani.

Mambo ya kiwa mengi kama mhusika hajanikumbusha basi imekula kwake.
 
Yule mwenye bikini yake aliondoka mtupu?
 
Ukishamjua mtu wako basi hupati shida. Unajiadjust kama ambavyo yeye anaweka..ukilazimisha mambo ndo kama hivyo lazima usononeke. Nisononeke for what?
afadhali...
 
Mantiki ya huu uzi kua tutambue kuwa wewe ni she au?
 
Looh.
 
Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.

Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
nisamehe kipenzi sitasahau tena, mzima wewe!
 
Hakuna kitu kinakera kama bby asahau kitu kidogo kama birthday.
Hahaha. Juma lililopita mama aliniambia birthday yake ni siku fulani, kwa hiyo wanae tukutane kwake hiyo siku tumshukuru Mungu na kuomba dua kwa family kwa ujumla. Eebhanaa eeh! Si niliisahau uzuri Jana katukumbusha tena.

Ila shout out kwake bi mkubwa, anatuelewa wanae ni wa namna gani.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnasahau sana sana hata vitu vya muhimu. Hela tu ndo hamsahau
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…