Mkwaha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2012
- 1,688
- 3,182
Ooh!! Basi Hongera.Nishamaliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh!! Basi Hongera.Nishamaliza
Kwenye suala la kusahau watusamehe tu. Siku yangu ya kuzaliwa Mimi mwenyewe huwa naisahau mara nyingi huwa zinapita siku 4 au 5 ndiyo naikumbuka.. aaah! Kumbe nimetimiza umri fulani.Vipi siku yako ya kuzaliwa imepita kavu bila kupata ujumbe wa kheri kutoka kwa Mr....
Wakati mwingine mtuhurumie aisee sasa hali imekuwa ngumu kwelikweli muda wowote unawaaza ada za watoto... kodi ya nyumba bado kuna madogo na ndugu pia wanakutegemea so tunajikuta tunasahau hivyo vitu vidogo [emoji45][emoji45][emoji45][emoji45][emoji45]
Mkuu ushatoboa siri, itabidi tukumbuke tu sasa.Birthday huwa hatusahau, tunajishaulisha kukwepa majukumu ya zawadi.
Mkuu ushatoboa siri, itabidi tukumbuke tu sasa.
Yule mwenye bikini yake aliondoka mtupu?Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
afadhali...Ukishamjua mtu wako basi hupati shida. Unajiadjust kama ambavyo yeye anaweka..ukilazimisha mambo ndo kama hivyo lazima usononeke. Nisononeke for what?
duh!Wote ni wale wale tu, majukumu tunayajua wakati tunakutafuta, tukishafanikisha mchezo unarudi 0.
Dahhh.....
Sinto sahau nilipo enda kuchepuka, then umeme ukakatika, na kwakua nilitakiwa nirudi home basi nilipo maliza game, nikavaa poa Na kisha nikachukua kitambaa changu (leso) nikatia mfukoni nikasepa home.
Sasa Ile nafika home umeme umerudi, na nikamkuta wife, basi akanikaribisha poa kabisaaaa... Nami kwa mbwembwe nikaanza kuvua nguo ili nikaoge, mara paapp.... Kumbe nilikua nimegeuza boxer wife akamid lakini sio kivile, sababu nikomaa kwamba nikiondoka home nimwivaa hivyo hivyo..... Basi akanielewa
Basi nikaanza kutoa makolokocho mfukoni, khaaaaa.... Sijaibuka na bikini...... Yaani sitaki kukumbuka na naomba nisielezee kilicho tokea.... tehteehhh[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
aiseeLabda Kaka Mr Miller....ila wewe sikuogopi...
Good morning Madame..!!Looh.
Good morning Madame..!!
nisamehe kipenzi sitasahau tena, mzima wewe!Pamoja na kuwa mmeumbwa kusahau, lakini wakati mwingine jitahidini kukumbuka.
Ni vitu vidogo sana ila vinatuumiza sana.
Hapa ni kwa ujumla, sio lazima uwe kwenye mahusiano, hata kaka, baba, mjomba nk.
Mungu mwema, nami mzima rafikiMizima Mimi, wewe je?
Mchumba nitajie kabisa niweke kwenye CalendarHakuna kitu kinakera kama bby asahau kitu kidogo kama birthday.
Hahaha. Juma lililopita mama aliniambia birthday yake ni siku fulani, kwa hiyo wanae tukutane kwake hiyo siku tumshukuru Mungu na kuomba dua kwa family kwa ujumla. Eebhanaa eeh! Si niliisahau uzuri Jana katukumbusha tena.Hakuna kitu kinakera kama bby asahau kitu kidogo kama birthday.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaume mnasahau sana sana hata vitu vya muhimu. Hela tu ndo hamsahauHahaha. Juma lililopita mama aliniambia birthday yake ni siku fulani, kwa hiyo wanae tukutane kwake hiyo siku tumshukuru Mungu na kuomba dua kwa family kwa ujumla. Eebhanaa eeh! Si niliisahau uzuri Jana katukumbusha tena.
Ila shout out kwake bi mkubwa, anatuelewa wanae ni wa namna gani.