Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Wanaume: Usimwamini sana mdada anaekuambia kuwa hakupi papuchi mpaka umuoe

Hello guys,

There is nothing wrong kama mdada ameamua kutofanya s*x na wewe mpaka umuoe, kiutamaduni na kidini ni sahihi, lkn shida ni kuwa wadada wengi wanaosema hivyo hawako honest. Utakuta anakwambia kuwa let's wait till marriage, wakati huku pembeni ana kidume kingine ambae anapewa hadi tigo..wakati wewe the man of the match huambulii hata busu

Wadada wanaosema hivyo (ukitoa wale walioshika dini kiukweli) wana kuwa hawajavutiwa na ww, kwahiyo kukupa papuchi anaona kero, lkn yupo na wewe kwa kuwa una pesa..au kwa sababu nyingine anazojua yeye isipokuwa mapenzi.

Source: uzoefu wangu
Akisema hakupi papuchi,unamuuliza wewe ni bikra?km bikra hana aache porojo watu wachezee mashavu...hakuna mkate mgum mbele ya chai.
 
Hii kitu inaniuma sana. Kuna Dem alifanyia mapicha picha ya hiviii Haqya Mungu ningeoa. Yani ananikazia mm mzigo af akawa anampa boya mmoja asijue mm na huyo jamaa tuna mambo yetu
Haaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole sana mkuu
 
Subirieni walio bikra, ukitaka kupata papuchi kirahis basi mjali, mthamini na muheshim uyo mpenz wako ila sio umuonje na kumuacha njia panda maana atakua akikutana na kila mwanaume atamuona ni mhuni na kumnyima mchezo.
 
Daaaa!!... Umenikumbusha mbali Mkuu ...nilikuwaga na demu wangu wa hivo toka 2012 akiwa anajifanya bikira kidume natunza tuje tuoane ...wakat nataka kumuoa namuuliza bado upo kama kama ulivyoniambi akanambia hapana..nikamuuliza kwa nini akambia kwani sijakuambia nniiteleza nikaanguka nikapasuka...daa wnawake nyoka wa pili baada ibilisi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]balaa sanaa..! wengne anakwambia mpka ndoa umuone mshika dini sanaa but huko pembeni kuna mwana Anamlaaaaa balaaa...yanii anamlaa kweli
 
Dah umenikumbusha kisa cha msela mwaka jana aysee.

1+yrs anasubiri tu na kujiñada kweli kuwa kapata daadeki sjui manz nan alimtia miti akaonja utamu thubutuuu kwani alikumbuka ahadi ni mwendo wa vituko mapenz yalimpanda kichwani kama wema.
 
Akisema hakupi papuchi,unamuuliza wewe ni bikra?km bikra hana aache porojo watu wachezee mashavu...hakuna mkate mgum mbele ya chai.

Hata ukimuuliza hivyo haisaidii coz atakujibu ndio anayo sasa ukijibiwa ndiyo Utathibitisha vipi? Kwahyo ukiambiwa tu ndiyo kwa mdomo na wewe unaridhika kabisaa unasubiria ndoa? [emoji35][emoji35][emoji35][emoji35] Huo ni uzembe wa Kiwango cha Lami
 
Dah umenikumbusha kisa cha msela mwaka jana aysee.

1+yrs anasubiri tu na kujiñada kweli kuwa kapata daadeki sjui manz nan alimtia miti akaonja utamu thubutuuu kwani alikumbuka ahadi ni mwendo wa vituko mapenz yalimpanda kichwani kama wema.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dunia ya leoo ukikutana na demu anakwambia mpaka ndoaa mpotezeee tuu
 
Huyo nae alizingua..kabla ya kukupa hakujua kama kuna mchungaji na ndoa?

Na ndio Mara nyingi inakuwaga ivyo ukiona unanyimwa k ujue kuna mwenzio anapewa bila kuomba
Anapelekewa mahususi kabisa kila weekend akaibokoe! We unalimwa sound tu mtoto hataki aguswe kabisa shenzee ila hapo hela inaliwa kama mchwa. Binafsi mimi no sexx no uhusiano, huwa nawaambia mapema tu kama ukishindwa kunivulia chupi maanake hunipendi!
 
Pia huu mtindo wa kutafunana kabla ya ndoa umeshika kasi sana na umekuwa kama jambo ambalo limehalalishwa, ndio maana ukiona mawazo ya walio wengi wanaunga mkono kwa asilimia zote.
Sasa mkuu huo ndio utaratibu elekezi. Wenzako wote wanapewa papuchi baada ya mtongozo ili kutest mitambo! Sasa mie ni nani nikatae papuchi wakati sera zangu zishaeleweka, na ofcourse mwanamke akishajaa anataka kupigwa miti tu sio kingine, ukianza kudema dema hukawilii kuonekana mchicha mwiba!
 
Back
Top Bottom